Habari za Muda huu , matumaini yangu ni kwamba tunaendelea vema huko kwetu,
Kuna masuala mengi yanachanganya sana katika Taifa letu la Tanzania, haya ni kuhusu uharifu katika maeneno mbali mbali...
Imearifiwa wakati Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa January Makamba akitarajiwa kuwasili jimboni humo mwanzoni mwa mwezi ujao, wapiga kura wake wanajiandaa kumpa mapokezi ya kishindo.
Tuombe sana...
"Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia usiwe, na hadi mbingu na ardhi...
Mara utasikia Kidumu chama Tawala, wanahitikia KIDUMUU, Pembezoni utasikia Ngangari Jino kwa jino,
Mwishoni kabisa utasikia Peoples' wanaitikia power. Katika kuvichunguza vyama vya siasa...
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.
Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka...
Government: International drug ring smuggled heroin to Muskegon from Tanzania; suspect charged
MUSKEGON, MI An Illinois man faces federal felony charges for allegedly being part of an...
Waziri wa Habari mh Nape amemtaka Lema kuweka Akiba ya Maneno na amemuuliza " naweza kuwa Mpumbavu?"
Waziri Nape amemshukia Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X...
Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya:
1. Nape Nnauye
2. January Makamba
3. Riziwani Kikwete
Hivi isingelikuwa hao wazee...
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais.
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais.
Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu.
Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi...
Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda.
Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na...
https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara...
Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu.
Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA...
Taarifa za muda huu kutokea ikulu ya Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...
Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini.
Hayo yamesemwa na...
Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM
Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake
Chadema wameomba Nusu Mkate 2025...
Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara...
Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964?
Au kuna mapinduzi mengine...
Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani.
Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.