Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,434
- 773
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi.
Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe
Mfano ifuatayo ni ishara ya migogo ndani ya chadema
(a) Uongoz wa CDM ulitangaza kuwa kwenye oparation ya Mbowe Lissu ataambatana na mwenyekiti wake kwenye mikutano yake mpaka mwsho lakini haikuwa hivyo Lissu alikacha mikutano ya Mbowe na kwenda ughaibun akimuacha Mbowe pekee yake (Disunity)
(b) Mmoja akiwa anafanya mikutano mwingine huwa kimya mfano kipindi Lissu yupo Singida mbowe alikuwa Kama hayupo na Mbowe alipoanza mikutano Lissu nae akatimuka Hawa watu wanakimbiana. (Conflict)
(c) Lissu ni kiongozi mkubwa wa CDM lakini bado anataka Chadema wajibu hoja za msigwa hii inamaana Lissu anajiondoa kwenye lawama (No teamwork)
(d) Lissu ametangaza kugombea Urais na Mbowe nae inasemekana anataka kugombea Urais pamoja na ukwenyekiti ( Uchu wa madaraka).
(e) mmoja anaikataa Rushwa mwingine hataki kuweka wazi msimamo wake kwenye rushwa (no anti corruption)