Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taasisi pekee Tanzania ambayo haiko mfukoni mwa watawala kwa sasa ni TEC, JE,TUTARAJIE KUJISIMAMIA ZAIDI KWA TAASISI HII IKIWA NI BAADA YA UCHAGUZI HUU AU TUTARAJIE KINYUME CHAKE?
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Akihubiri kwenye Kongamano la Kitume jijini Arusha mtumishi wa Mungu mh Makonda amesema Kazi ya Kanisa ni kuliombea Taifa siyo Kulalamika na kutoa matamko Makonda amesema siyo kila anayevaa Joho...
4 Reactions
19 Replies
795 Views
Mengi niliyoyaweka hapa jukwaani yamejjri na wala sijisifu kwa hilo, kwa sababu huwa nazama kwenye maombi yasitokee lakini kwa utawala huu nimegundua Mungu hajibu maombi yangu yote. Pia soma...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Haya maandamano ya tar 23 yatayofanywa na Chadema yatakuwa na impact kubwa kiasi cha kuogofya serikali?.
1 Reactions
5 Replies
319 Views
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba Naelewa na kuamini kwamba kauli ya Mheshimiwa RAIS iliakisi kile ambacho yeye kama Samia Suluhu Hassan anakiamini na anakifahamu ila hakikuakisi kile ambacho RAIS...
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni...
2 Reactions
8 Replies
866 Views
Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais. Jana,mwenye ID Malcom...
3 Reactions
0 Replies
368 Views
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatatu, tarehe 23 Septemba 2024, itakuwa siku ya kuadhimisha amani duniani. Taarifa hii ameitoa siku ya...
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi. Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
1 Reactions
17 Replies
594 Views
Balozi wa USA Nchini Tanzania bwana Battle amesema eti Kwa miaka 20 iliyopita Marekani imewekeza na kutoa misaada Kwa Tanzania yenye thamani ya $7.5 Bilioni( sawa na Trilioni 15). Bwana Battle...
4 Reactions
81 Replies
2K Views
Hello! Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka. Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority. Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili...
27 Reactions
94 Replies
4K Views
Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Husika na mada tajwa hapo juu; Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali. Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU. Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo...
1 Reactions
7 Replies
414 Views
Nadhani kuna haja kubwa kwa Mama kutafuta namna na mazingira kwa kadri itakavyowezekana ili aombe radhi kwa kauli tata aliyoitoa kupinga kauli za Mabalozi, Maaskofu(TEC), Vyombo na Taasisi...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Boniface Jacob ameweza kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Septemba 19,2024,toka akamatwe hapo jana katika mgahawa wa Golden Fork, Sinza. Hati ya Mashtaka ya kesi inayomkabili...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli...
1 Reactions
6 Replies
574 Views
Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Back
Top Bottom