Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori...
4 Reactions
388 Replies
26K Views
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :- 1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha. Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala. Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa...
16 Reactions
107 Replies
3K Views
Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta. Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama...
4 Reactions
8 Replies
717 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
India https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY UK https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts Ukrain https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte Nigeria...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Chama iliyoketi kwenye kikao chake cha kawaida tarehe 17-18 Septemba, 2024 Jijini Dar Es salaam pamoja na ajenda nyingine imefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) amejibu kauli ya Rais Samia kuwa 'Kifo ni Kifo tu' amesema "Ni kweli vifo vipo vingi na watu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi...
19 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema Mwezi huu wa September ni mgumu sana Kwa Chadema kwa sababu kwao ni mwezi wa Maombolezo. Source: Jambo TV
3 Reactions
9 Replies
810 Views
Jaji Mstaafu, Mzee Joseph Sinde Warioba akitoa hotuba yake katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali siku ya leo Alhamisi Septemba 19, 2024 katika...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Duniani kote upinzani wana agenda ya ajira kwa vijana na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi. Kwa Tanzania mambo ni tofauti upinzani wanasera nyepesi mno utasikia tunataka uchaguzi wa haki na...
1 Reactions
4 Replies
340 Views
Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema. Na...
97 Reactions
260 Replies
15K Views
Viongozi wa Chadema, mnao wateka, kuwakamata, kuwafunga, na kuwanyanyasa watu leo. Katika mazingira haya ya kisiasa, ni muhimu kutambua kwamba vitendo hivi vinaathiri sana demokrasia yetu. Kila...
1 Reactions
2 Replies
507 Views
Wanasema wataandamana! Kwani wameanza Leo ? Chadema ipi ambayo tukae tunazozana tangia majuzi Chadema hii ya Mbowe, Mnyika na Lissu? Labda kama ipo nyingine. Kwani wameanza Leo kuandamana ? Nini...
0 Reactions
5 Replies
286 Views
Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu. Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye...
5 Reactions
8 Replies
460 Views
Ubovu wa barabara ya Tanga-Pangani umepelekea wenye magari na madereva wao kusitisha huduma za usafiri kutoka stendi kuelekea maeneo ya Tangasisi, Bwagamoyo, Mwakidila, Mwahako, Mchukuuni mpaka...
0 Reactions
21 Replies
894 Views
Back
Top Bottom