Rais mstaafu Kikwete ashiriki Siku ya Maji New York Marekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,098
164,456
Rais Mstaafu Mzee Kikwete ameshiriki Siku ya Maji huko New York nchini Marekani

Dr Kikwete ni Mwenyekiti wa Global Water Partnership Barani Africa
=====
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership - Southern Africa and Africa Coordination Unit - (GWPSA - Africa)) ameshiriki katika “Siku ya Maji” ya Mkutano wa Sayansi uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 79 wa Umoja wa Mataifa, Jijini New York, Marekani.

Katika Mkutano huu, Rais Mstaafu ametoa wito kwa Nchi za Afrika na Wadau mbalimbali duniani, kuendelea kuwekeza katika Mpango wa Maji wa Afrika unaolenga kuboresha upatikanaji wa maji safi, salama na toshelevu barani Afrika.
 
Back
Top Bottom