Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT. Soon mara...
11 Reactions
118 Replies
21K Views
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili...
8 Reactions
222 Replies
32K Views
Walimu wanatia huruma katika hivyo vituo. Serikali ijitafakari. Mwisho.
8 Reactions
95 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine...
4 Reactions
43 Replies
16K Views
Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Mwendo alioanza nao katibu wa itikadi na uenezi Paul Makonda naona nyot yake inaenda vizuri ni kijana ambaye katika majukumu yake anathubutu siyo mtu wa porojo kumbukumbu ni mwalimu. 1. Dar es...
2 Reactions
5 Replies
634 Views
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio...
18 Reactions
94 Replies
5K Views
Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo. Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu...
4 Reactions
8 Replies
549 Views
Nauliza tu… Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ. Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono. Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke. Tumeona jinsi wanavyobeba...
43 Reactions
262 Replies
13K Views
Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing...
26 Reactions
217 Replies
7K Views
Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ampandisha cheo cha Meja Jenerali, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Charles Mbuge. Mkuu wa...
13 Reactions
171 Replies
42K Views
Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: 1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko. 2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza...
5 Reactions
11 Replies
659 Views
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources. Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu. Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto...
45 Reactions
307 Replies
14K Views
RC Chalamila anamudu mikoa midogo kama Lindi au Singida ila DSM imemzidi pakubwa Sana Makonda akiwa RC alisuruhisha mgomo wa mabasi ya mikoani pale Ubungo na hadi leo hali ni shwari Makonda...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Back
Top Bottom