Rais Magufuli awapandisha Vyeo Charles Mbuge, Wilbert Ibuge, Francis Mbindi, Suleiman Mzee, Gabriel Muhidze na Ibrahim Mhona

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,548
6,102
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ampandisha cheo cha Meja Jenerali, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Charles Mbuge.

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya wananchi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo ndiye aliyemfisha cheo hicho kipya leo tarehe 3/6/2020 makao makuu ya JWTZ ya muda yaliyopo Msalato jijini Dodoma.
1591195543546.png


Screenshot_2020-06-03-16-56-38-1-1.jpg
1591195650187.png
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amempandisha cheo Bregedia Jenerali Suleiman Mzee kuwa Meja Jenerali ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza. Pichani akipongezwa na Maofisa wa Jeshi la Magereza, leo jijini Dodoma.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu, Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ampandisha cheo cha meja general, mkuu wa jeshi la kujenga taifa brigedia Charles Mbuge.

Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya wananchi wa Tanzania, jenerali Venance Mabeyo ndiye aliye mfisha cheo hicho kipya leo tarehe 3/6/2020 makao makuu ya JWTZ ya muda yaliyopo Msalato jijini Dodoma. View attachment 1467761
Kongole kupanda cheo kamanda, naona ahadi ya JPM kuhusu wale vijana 2400 imeanza kutekelezwa kaanza na kamanda wao mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasikia tu malalamiko kutoka watumishi wengine wa serikali kuhusu nyongeza zao za mishahara kwa mwaka na hasa zile ziendanazo na kupandishwa kwao madaraja ktk nafasi zao za kazi.

Je! Hivi ndivyo ifanyikavyo hata kwa wajeda? Je! Zoezi lile la uchunguzi wa vyeti feki nalo pia liliwahusu kama watumishi wengine wa serikali?

Hongera kamanda kwa kupamdishwa cheo kipya, kwa kuwa umedhihirisha umahiri na utendaji wako bora wa kazi, na uliotukuka ndani ya JWTZ wenye kutambulika na mamlaka za uteuzi
 
Hivi mang'era ni kabila gani? Kuna jamaa mkurya nilisoma nae anaitwa mang'era .
Anastahili kabisa huyu Mzee mbuge ni kati ya watu ambao wako calm sana alikuwa mkuu wa kambi yangu jkt enzi flani ni mstaarabu sana labda abadilike kwa hizi pambio za awamu hii.
 
Back
Top Bottom