Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
simaanishi kuhusu rank yake yake ya kijeshi, baod ni Major General sawa, ila je kutoka kuwa Mkuu wa JKT Tanzania nzima na kwenda kuwa RC je kashuka ama kapanda?
 
Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Kimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.

Portfolio aliyokuwa nayo akiwa Mkuu wa JKT Tanzania ilikuwa ni kubwa sana kuliko sasa anavyokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.

Kwa kawaida wakiona umezingua jeshini they get rid of you kwa njia kama hii. Kumbuka wakati wa akina General Mirisho Sarakikya, T. Kiwelu n.k

Kwahiyo, Major General Charles Mbuge sasa hivi ameshika tama anasikitika.

Asantea!
 
Nmekusoma Nmekusoma ndugu
 
Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jambo

Huyu jamaa alizingua sana akiwa Mkuu wa JKT alikuwa anawachukia sana Makamanda waliokwenda shule na alipenda sana kuwaweka vibaraka wake kwenye nafasi mbalimbali JKT, professionalism kwa huyu Kamanda ilikuwa zeero kabisa!!

Kuna jamaa alimchukia sana kisa hakuenda kumpongeza alivyopandishwa cheo na mwendazake. Akaamua kumtupa Kigoma and then wakati wenzake wanapandishwa vyeo mwezi wa 2 kuwa Ma-Major jjna la huyo jamaa akalinyofoa makusudi tu kwa sababu ya chuki zake binafsi . Kwahiyo wenzake wamekuwa Ma-Major yeye bado ni Captain. Huyu jamaa yuko kambi ya Mtabila Kigoma na ni Msomi mzuri tu.

Acha karma imle!!!
 
Hiyo ni demotion mkuu wala huhitaji akili kubwa. Mkuu wa mkoa hata hela anaomba kwa wakurugenzi wa halmashauri
Kazi kwelikweli inaonesha umezaliwa baada ya Vita vya Kagera
mambo ya kuomba hela hata awe Kambini ataomba mpaka na chakula
Hebu jiulize wakina Mayunga, Kimario, Marwa hawa walikuwa na vyeo vikubwa Jeshini lkn walipewa Mikoa
 
Back
Top Bottom