Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
4,389
11,639
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?

FB_IMG_1728554211335.jpg

Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
FB_IMG_1728554552708.jpg

Hapa ni Nairobi kikao cha Mawaziri.
FB_IMG_1728554221372.jpg

Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.

FB_IMG_1728554514473.jpg
 
Maji ya kunywa ya chupa za Plastic yameisha pitwa na wakati kwa levo za viongozi wa juu, na hapo kuna Chawa huwa wanasema mama ana advocate mazingira Huweiz ukawa unapigani mazingira huku Bado unatumia maji ya chupa za plastic zinazo chafua mazingira.
Kuhusu chupa za maji, glass waste ni tatizo zaid kuliko plastic waste! Plastic waste zimewapa ajira vijana wangi sana ambao wangekuwa vibaka leo!
Kuhusu glass waste nakushauri fika kwenye yard ya Serengeti, au TBL au pale Kioo limited ukajionee mlima wa vyupa!
 
Hizi zinajazwa maji ni kama chupa za soda,
 
Kuhusu chupa za maji, glass waste ni tatizo zaid kuliko plastic waste! Plastic waste zimewapa ajira vijana wangi sana ambao wangekuwa vibaka leo!
Kuhusu glass waste nakushauri fika kwenye yard ya Serengeti, au TBL au pale Kioo limited ukajionee mlima wa vyupa!
usha ona chupa za Soda cocacola au pepsi zinachafua mazingira au chupa za Bia?
 
Hayo maji wanayotumia wabunge wa kEnya nakumbuka this nilikua huko moja ya maji mazuri sana taste yake na bei yake yamechangamka chupa moja ni 5000 km siosei iyo lota moja
 
Uzi kaandika mwingine lakini aibu naona mimi namna bongo za baadhi ya watu zinavyoshindwa kuchambua na kuchanganua mambo makubwa. kweli kikao kinaanzishiwa uzi, nchi yangu inahitaji uponyaji kwa baadhi ya watu
 
Back
Top Bottom