Serikali sisi wasomi hatuhitaji Mambo Mengi zaidi ya kuhakikisha lugha ya kingereza inafundishwa Kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,904
45,320
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources.

Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu.

Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto wanamaliza form four hawana kitu kichwani.

Acheni siasa katika Elimu.
 
... English inajenga confidence na uelewa mpana sana wa mambo. Kati ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kufuta Kiingereza kama lugha ya kufundishia toka elimu ya awali. Hata kwenye nyumba za ibada mahubiri ya Kiingereza huwa ujumbe unafika vizuri zaidi kuliko Kiswahili sembuse masomo mashuleni!
 
Hakika huu ni mtizimo dhaifu wa kiwango cha juu, sasa sijui ni upweke wa kuelewa mambo au tu umagharibi umetaradadi kwenye mioyo ya watu. Ukweli dhahiri lugha mama ndo inatakiwa itumike kufundishia hamuoni mataifa yaliyojichomoa kwenye uduni wa fikra yametumia lugha zao kwenye ufundishaji mfano China, Urusi ,Saudi Arabia, India, Korea, Japan nk?

Kingereza nikizuri ila hakitatoa mazao bora ya kiubunifu kwenye elimu kama ambavyo kiswahili kitakua kama kikitumika kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo kikuu.

Serikali kupitia taasisi ya kiswahili pale UDSM waendelee na lile zoezi lao la kuja kukifanya kiswahili kama lugha rasmi ya ufunidishaji kwa level zote.
 
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources.

Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu.

Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto wanamaliza form four hawana kitu kichwani.

Acheni siasa katika Elimu.
Point tupu , hatuwezi kujitenga na ulimwengu kwa kung'ang'ania kumuenzi Mwl na wakati yeye mwenyewe alisoma middle school
 
Kwani tatizo ni kiingereza?

Mfano wakati nasoma waliotoka English Medium ndio walikuwa wanaongoza kwa kuchujwa.

Walikuwa wanashindwa kuchambua mashairi mepesi kama.

Building the nation, na lile lingine nimelisahau jina linaanza na
"Behold the sun has risen...."

Kipindi kile nilikuwa nacheka kweli maana wakiwa Nje wanagonga kweli Ngeli ( sio broken), ila application yake ndio zero.

Tatizo sio Lugha, tuna matatizo yetu ila Lugha sio tatizo kubwa.

Mfano Mwepesi ni Wahindi hawajui Kiingereza kabisa ila ndio hivyo wametoboa, saiv wanaheshima Duniani na kiingereza chao cha kuunga Unga.

Kama Unaweza tembelea Dangote Cement pale Top positions nyingi wamejaa Wahindi.
 
Hakika huu ni mtizimo dhaifu wa kiwango cha juu, sasa sijui ni upweke wa kuelewa mambo au tu umagharibi umetaradadi kwenye mioyo ya watu...
Lets face reality ku be proud kwa lugha yetu ni vyema na muhimu but that doesn't necessary mean it's widely applicable compared to other language...haijalishi tutapambana kiasi gan kufanya kiswahili kiwe cha kimataifa still lugha yetuina-lack vitu vingi sana haswa haswa kwenye maswala ya education technology research na science kiujumla.

Na tukitumia tu common sence bila science hakuna uchumi wala maisha bora kwenye hii modern world...

Pia wenzetu wametutangulia kwa maendeleo kwa kipind cha mda mrefu sana na wamegundua mengi ambayo ni easy kuyaelezea na kuelewa kwa lugha yao zaidi so kama kweli tunataka industrialization na civilization hatuna budi kutumia lugha yao kwa asilimia kubwa

Then pia uki-consider mataifa makubwa Africa yaliyofanikiwa wanatumia lugha ya english kwa asilimia kubwa sana kuanzia nigeria south africa na kenya wanamix lugha zao kwa kiwango kikubwa sana ndo maana hata tukija kwenye maswala ya entertainment wanatuzidi
 
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources.

Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu.

Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto wanamaliza form four hawana kitu kichwani.

Acheni siasa katika Elimu.
Watu ni wapumbavu sana aisee...
Unaacha kuthamini cha kwenu(swahili) una shadadia vya watu (English)
 
Sijawahi kusikia kichina kinatumika kwenye mikutano mikubwa ya kimataifa wala majukwaa makubwa
Kichina ni lugha Rasmi ya UN pamoja na KIswahili, KIfaransa, Kiingereza, Kirusi, Kiarabu na Kiispaniola.

watu wa ulimwengu wamekiweka Kiswahili daraja moja na Kiingereza ila waswahili wenyewe ndiyo wanaonesha Kiingereza kama lugha teule ya maarifa.
 
... English inajenga confidence na uelewa mpana sana wa mambo. Kati ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kufuta Kiingereza kama lugha ya kufundishia toka elimu ya awali. Hata kwenye nyumba za ibada mahubiri ya Kiingereza huwa ujumbe unafika vizuri zaidi kuliko Kiswahili sembuse masomo mashuleni!
Pole sana mkuu.
 
Kichina ni lugha Rasmi ya UN pamoja na KIswahili, KIfaransa, Kiingereza, Kirusi, Kiarabu na Kiispaniola.

watu wa ulimwengu wamekiweka Kiswahili daraja moja na Kiingereza ila waswahili wenyewe ndiyo wanaonesha Kiingereza kama lugha teule ya maarifa.
Mbona watoto wako hawasomi Dumu fagio?
 
Back
Top Bottom