Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
2 Reactions
10 Replies
597 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa...
1 Reactions
4 Replies
651 Views
Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu...
45 Reactions
318 Replies
35K Views
Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo. Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo...
0 Reactions
7 Replies
471 Views
Wakuu, Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
1 Reactions
7 Replies
572 Views
📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za...
0 Reactions
6 Replies
516 Views
Wakuu, Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂 Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura. Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura...
0 Reactions
16 Replies
733 Views
Huu unaweza Kuwa ni aina nyingine ya ulaji tu Uchaguzi wa Kitongoji Tarime mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kampeni mh Tundu Antipas Lisu kutoka Chadema HQ DSM Hata ACT Wazalendo Mzee Duni Haji...
1 Reactions
4 Replies
283 Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara. Soma...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Kwakweli nimeona kunahaja kubwa ya kumtunuku Mh Freeman Mbowe cheo cha heshima...
27 Reactions
88 Replies
8K Views
Wanabodi, Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe...
1 Reactions
5 Replies
524 Views
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kampeni za uchaguzi zishaanza. Wagombea wanakatiza nyika sehemu mbalimbali za nchi kuzinadi sera zao. Wanatoa kila aina ya ahadi. ‘Mimi nitafanya hivi, nitafanya vile, nitafanya haya, nitafanya...
24 Reactions
106 Replies
8K Views
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna...
180 Reactions
2K Replies
184K Views
Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo elimu. Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na...
31 Reactions
118 Replies
9K Views
Nimeisoma ilani ya CHADEMA sura ya tano ibara ya saba kifungu "e" nimekiambatanisha hapa chini, kinasema ili kuboresha elimu shule ya msingi itakuwa miaka tisa, binafsi ningependa shule ya msingi...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Back
Top Bottom