Kwanini ni Mbowe, na kwanini Chadema haifi kama walivyoahidi?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Kwakweli nimeona kunahaja kubwa ya kumtunuku Mh Freeman Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake katiks siasa za Tanzania, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo waliokuwa maadui wanacheka pamoja, Wakufukuzao jana leo wawavukuza wewe?

Wajibu wa Ujasusi wa ulimwengu wa kileo hasa ujasusi wa kidola ni kuhakikisha mwelekeo wa taifa lolote lile kisiasa unalandana na malengo mtambuka ya ujasusi huo. Taasisi ama idara ya ujasusi ni wajibu wake kuelekeza mwelekeo wa siasa za taifa hilo kwa kuakisi siasa za mataifa jirani ama ya ulimwengu mpya, pia mila na destuli za jamii hiyo. Si hayo tu, bali kutafsiri ipasavyo nini maana ya siasa.

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima maisha ya jamii hiyo. Siasa maana yake ni njia azitumiazo mtu au kundi la watu kupata nguvu na madaraka, na ikitokea mtu akapata nguvu hizo huendelea na hatua ya pili ya njia hizo ili kuhahihisha anabaki na nguvu zake au na madaraka yake kwa lengo la kuendelea kufanya kile alichokikusudia. Kinachogomba hapo ni mamlaka/madaraka/nguvu azipatazo mwanasiasa anazitumia kwa maslahi ya nani?. Siasa ni mambo mengi lakini sio SAYANSI, Siasa ni medani ya mapambano ya kimadaraka (power struggle).

Kifalsafa Mwanasiasa ni adui wa uzalendo, simuumini wa uzalendo, huamini katika itikadi ya siasa yake. Uzalendo na siasa hukinzana lakini uzalendo huo huhanikizwa ama umo katika siasa. Lakini ili ifanyike siasa lazima pawepo na itikadi. Hivyo taasisi na idara za ujasusi wa kidola zina jukumu la kutafsiri itikadi pia inayoshirikiwa na watu katika jamii.

Itikadi ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na kundi la watu fulani. Kuna aina kuu mbili za itikadi: Itikadi za kisiasa, na itikadi za kiepistemolojia (sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo).

Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na namna ya kuendesha ama kuongoza nchi. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.

Baada ya ufafanuzi huo wa maana ya siasa na Itikadi, sasa naomba tumtazambe Mbowe kama kiongozi wa Kisiasa na mafanikio yake katika ardhi ya Tanzania na kwanini bado Siasa inamhitaji kwa udi na uvumba. Tukianzia hapa kwenye utawala huu, mtakubaliana nami kuwa Rais wa nchi aliapa kwa maneno yake kufuts upinzani nchini, Wengi walichukulia kama maneno raihisi tu ya majukwaani, lakini ile ilikuwa kauli ya kirais (decrees), na utekelezwaji wake ulianzia mbali na umefika pabaya sana,

Chama cha siasa kinakuwa hatari pale tu kinapokuwa kimekua kikubwa na kinauwezo wa kushika madaraka ya nchi, nje ya hapo hakiwi na hatari yoyote yaani kinakuwa kijiwe cha kisiasa na tumbo tu. Sasa ili uweze kuviua vyama vya siasa vyenye nguvu ambavyo vinatishia kushika madaraka, inatakiwa mambo makuu mawili tu, ambayo ni, kwanza uue uchumi wa viongozi wa vyama hivyo, hapa ndipo unamuona Lipumba, Mrema, Mbatia, Dovutwa, Zitto na wengine kwamba hawa sio threat kwa dola kwakuwa wanabei tena bei elekezi, yaani hawana utajiri wa pesa na hawana biashara yoyote zaidi ya biashara ya siasa tu.

Jambo la pili ili uviue vyama vya siasa vyenye nguvu ya kushika dola ni lazima kupandikiza mawakala wa ujasusi wa dola ambao watafanikiwa kumgombanisha Mwenyekiti na Katibu, chama chochote ambacho mwenyekiti na katibu wanaongea lungha moja huwa hakivunjiki haraka hata kama utafanikiqa hatua ya kwanza ya kufinya mirija yao ya uchumi binafsi.

Hatua za kujaribu kukiua chadema zilianza mbali na lilikuwa tangazo rasmi la kirais. Kwanza ilianza kwenye kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa ambazo ziko kikatiba na kisheria, hili lilikiwa pigo la kwanza kwa siasa na demokrasia nchini, Mbowe ni mmoja wao. Hatua ya pili ilikuwa ni wapinzani kusulubiwa kwa mkono wa mahakama, hili limeshuhudiwa uwingi wa wapinzani nchini katika mahakama za nchi nzima na kila aliyekosoa utawala huu ameonja mahabusu, Mbowe ni mmoja wao,

Hatua ya ratu ikawa ni kununua wapinzani huku utekaji wa kisiasa ukishamiri, wanasiasa wengi wa upinzani wakashindwa kuhimili, wakajisalimisha mikonini mwa dola na chama dola wakitafuta usalama wao kisiasa, wengi wakazawadiwa vyeo na madaraka, Lakini Mh Mbowe akakataa katakata kupiga magoti kwa watawala na kukiua Chadema sawa na ilivyouawa CUF,

Hatua ya nne ikawa kuwaondolea uchumi viongozi wa vyama vya upinzani na wote wenye mrengo tofauti na utawala, hapa Mbowe akiwa ndio mlengwa na ameathirika zaidi kuliko mtu yoyote, kwenye hatua hii ndio watu wetu wengi uzalendo kwa wananchi uliwashinda wakaamua kujisalimisha hata mgombea wetu urais ambae umma ulimpigia kura zaidi ya milioni sita, alishindwa kuhimili kibano hiki akakimbia kujisalimisha.

Kwa Mbowe walianza na kiharibu mashamba yake kule hai alikokuwa amewekeza zaidi ya 6 billions akiwa ni mfanyabiashara wa pili barani afrika kwakuingiza mboga na matunda katika sogo la ulaya, hapa akiwa nyuma ya Uhuru Family wanaoongoza kwa Afrika kuuza bidhaa hizo kwa soko la ulaya. Mradi huu uliharibiwa utoka kwenye bilioni 6 hadi kuwa sifuri kabisa kwa hoja za kijinga kwamba analima kwenye vyanzo vya maji, kumbuka mradi huo ulikuwepo tangu kabla ya Uhuru wa Tanganyika ambapo mzee Aikael Mbowe baba wa Freeman ndie mwasisi na watu wamazingira walikuwepo hawajawahi kutoa sababu hizo, mradi huu uliajiri zaidi ya watanzania 2,600, na mradi huo ulilipa kodi ya zaidi ya 3 billions kwa mwaka, watu wote hawa wakakosa kazi na serikali ikakosa kodi, Mbowe akagoma kuhama chama na kuuza chama.

Mbowe akaharibiwa biashara yake nyingine ambayo ni klabu ya starehe Bilicanas iliyokuwapo mtaa wa mkwepu posta jijini Dar es Salaam, kwa hoja za ajabuajabu klabu yenyw mtaji wa karibu 8 billions iliyoajiri Watanzania zaidi ya 200 na inayolipa kodi zaidi 2 billions kwa mwaka, ikavunjwa, yaani sio kuvunjwa tu kwamaana ya kuifunga, bali ikavunjwa kabisa na jengo kanakwamba kuna ujenzi unaanza, lakini mwaka wa nne huu pamebaki mbuga ya kuoshea magari na kuegesha nagari tu. Mbowe huyuhuyu hakutikisika,

Baada ya hapo Mh Mbowe akiwa bado imara, akaamua kwenda kuanzisha mashamba huko Morogoro akawekeza zaidi ya 6 bullions, tena ni kilimo cha umwagiliaji, huwezi amini kufumba na kufumbua mashamba yake yote yakiwa na mazao, yalifyekwa yote na majanga juu, hoja zao nikwamba amelima kwenye vyanzi vya maji, Mbowe huyuhuyu hakutikisika, akagoma kupiga magoti akabaki na Chadema,

Wakaona haitoshi, akaunti zake zote zikafungwa, yaani wakatika abaki mchangani kabisa, Mbowe akasimama wima hakutikisika akagoma kuuza chama, Lengo lote ni kuhakikisha Chadema inaanguka, na ili kuiangusha inabidi umuangushe Mbowe kiuchumi na kimedani. Unaweza kuona dhamira na machaguo ya dola kwamba haijalishi unachangia pato la taifa kwa kiwango gani bali ni kuhakikisha upinzani unakufa Tanzania

Wakaja na mkakati wa kimahakama, wakacheza nae mahabusu weee kesi ya mauaji ya Akwilina aliyeua hajulikani na hawajamfikisha mahakamani, lakini mshitakiwa ni Chadema (Viongozi) kwakinachoitwa maandamano bila kibali huku mlengwa ni Mbowe, Sasa wamekaa wamepima wameona hukumu itachelewa ukilinganisha na ratiba ya uchaguzi wa chama ili kufanikisha kukipora chama kama walivyofanya kwa Cuf, sasa wamekuja na mkakati wakumtumia msajiri wa vyama, na kwa hili mtandao ni mrefu unaohusisha vibaraka wa ndani na nje.

Unaposikia porojo za mara michango ya wabunge ambayo ipo kikatiba, mara ooho Mbowe ameiba 1.9 bilions, jambo wasilojua nikuwa Mbowe sio mhazini wa chama wala sio mtia saini wa pesa za chama. Kwamjibu wa katiba ya chama na miongozo ya chama, watia saini ni Katibu Mkuu wa chama, na Mkurugenzi wa fedha na uchumi, hawa ndio wadhibiti wa pesa za chama na sio Mbowe, lakini kwakuwa mlengwa katika propaganda hii ni Mbowe basi anabeba propaganda hii na sio ya kwanza.

Kwa nadharia ya kawaida Mbowe ameweza kusimama imara dhidi ya Taasisi hii, jaribio lolote la kuiangusha taasisi hii ni ushindi kwa maadui, Tukikaribia uchaguzi wa chama hapo December mwezi kesho, Chama chetu kina wanachama wengi wenye uwezo wa kukiongoza chama hiki, lakini Mbowe ni mwanachama aliyeweza na anayeweza kukabili misukosuko hii ya mkono wa chuma ndiomaana unaona dola na wanaccm ndio wanaohangaika kuhakikisha Mbowe anatoka madarakani japo wao sio wapiga kura.

Bahati nzuri mimi ni mpiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa Chama Taifa, nitakwenda kumuomba Mh Mbowe hata kama anakusudia kupumzika achukue fomu tena agombee na nitamchagua atuongoze kwa kipindi cha miaka mingine mitano. Mapito aliyopitishwa Mbowe ningekuwa na mamlaka ningempa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi.

Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe chini ya Chama imara cha Chadema katikatika ya mapito magumu. Kwanamna alivyoweza kukiongoza chama kuhandle suala la Kamanda Lissu na kuokoa uhai wake, kwa hakika Taifa la Tanzania na Wanachadema wamebarikiwa kuwa na kiongozi imara mwenyw hekima, busara na maarifa.

Nampa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Mbowe anaijua siasa, Mbowe anahekima, anashaurika na anaheshimu taaluma na wataalamu. Mhimu zaidi vijana wa Taifa hili tujifunze, siasa sio kama ibada za kanisani au msikitini ambako mila na destuli huaminiwa na kufuatwa.Tunaposhiriki siasa za kisasa tunashiriki kwakutumia akili ya juu sana sio asili ya juu.

Wanachadema uchaguzi ni wetu, turuhusu dola iue chama au tusimamie kuchagua mtu sahihi kama Mbowe?

Na Yericko Nyerere
IMG-20191005-WA0065.jpg
 
Vibaraka wa Mbowe wana myopia
Chadema ilishakufa toka alipoondoka slaa,ilijaribu kufufuka kwa kutumia UKUTA,ikashindwa
 
Umekuwa msemaji wa chama ?

Mwache makene afanye kazi yake

Nampa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Mbowe anaijua siasa, Mbowe anahekima, anashaurika na anaheshimu taakuma na wataalamu. Mhimu zaidi vijana wa Taifa hili tujifunze, siasa sio kama ibada za kanisani au msikitini ambako mila na destuli huaminiwa na kufuatwa.Tunaposhiriki siasa za kisasa tunashiriki kwakutumia akili ya juu sana sio asili ya juu.

Wanachadema uchaguzi ni wetu, turuhusu dola iue chama au tusimamie kuchagua mtu sahihi kama Mbowe?

Na Yericko NyerereView attachment 1224049
 
mradi wa Mbowe CHADEMA utakufa rasmi mwakani, CHADEMA itapoteza wabunge na ruzuku, Mbowe atapoteza ubunge, ACT WAZALENDO ndio kitakuwa chama kikuu cha upinzani
 
Unamaanisha mh Mbowe alijiunga CDM baada ya chama kupata wabunge? unakumbuka kipindi kile Mh Mbowe alipogombea urais akiwa ameshikilia ki-fimbo kama ya Nyerere? Chama kilikua na ruzuku kiasi gani?

Hakuna mtu mwenye rohoo nguma kama Mh Mbowe kwa jinsi anavyofanyiwa hujuma na dola ata huyo anajiita jiwe angevaa viatu vya Mbowe angejiuwa kwa bunduki.
 
1. Kwanini CHADEMA huwa wanamchagua MBOWE kuwa mwenyekiti katika nyakati zote wakati CHADEMA ina watu wengine machachari kuliko MBOWE?

2. Naomba nijue wapi naweza pata katiba yenu.

3. Kwanini CHADEMA kusalitiana wenyewe Kwa wenyewe?

4. Kwanini katika nyadhifa nyeti ktk zinashikiriwa an wanafamilia wa mbowe.

5. Nasikia historia na chanzo cha CHADEMA ni kwamba CHADEMA kilitokana na muungano wa wanandugu wa familia ya Mtei.

6. CHADEMA pamoja na vyama vingine hawajiamini ndiyo maana mwaka 2015 waliungana.

7. CHADEMA wanapenda lawama lakini hawachukui any action. Hata wakithubutu kuchukua hatua huwa hawafanikiwi.

8. Tundu Lisu anataka kuhamia ACT WAZALENDO.
 
Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Kwakweli nimeona kunahaja kubwa ya kumtunuku Mh Freeman Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake katiks siasa za Tanzania, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo waliokuwa maadui wanacheka pamoja, Wakufukuzao jana leo wawavukuza wewe?

Wajibu wa Ujasusi wa ulimwengu wa kileo hasa ujasusi wa kidola ni kuhakikisha mwelekeo wa taifa lolote lile kisiasa unalandana na malengo mtambuka ya ujasusi huo. Taasisi ama idara ya ujasusi ni wajibu wake kuelekeza mwelekeo wa siasa za taifa hilo kwa kuakisi siasa za mataifa jirani ama ya ulimwengu mpya, pia mila na destuli za jamii hiyo. Si hayo tu, bali kutafsiri ipasavyo nini maana ya siasa.

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima maisha ya jamii hiyo. Siasa maana yake ni njia azitumiazo mtu au kundi la watu kupata nguvu na madaraka, na ikitokea mtu akapata nguvu hizo huendelea na hatua ya pili ya njia hizo ili kuhahihisha anabaki na nguvu zake au na madaraka yake kwa lengo la kuendelea kufanya kile alichokikusudia. Kinachogomba hapo ni mamlaka/madaraka/nguvu azipatazo mwanasiasa anazitumia kwa maslahi ya nani?. Siasa ni mambo mengi lakini sio SAYANSI, Siasa ni medani ya mapambano ya kimadaraka (power struggle).

Kifalsafa Mwanasiasa ni adui wa uzalendo, simuumini wa uzalendo, huamini katika itikadi ya siasa yake. Uzalendo na siasa hukinzana lakini uzalendo huo huhanikizwa ama umo katika siasa. Lakini ili ifanyike siasa lazima pawepo na itikadi. Hivyo taasisi na idara za ujasusi wa kidola zina jukumu la kutafsiri itikadi pia inayoshirikiwa na watu katika jamii.

Itikadi ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na kundi la watu fulani. Kuna aina kuu mbili za itikadi: Itikadi za kisiasa, na itikadi za kiepistemolojia (sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo).

Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na namna ya kuendesha ama kuongoza nchi. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.

Baada ya ufafanuzi huo wa maana ya siasa na Itikadi, sasa naomba tumtazambe Mbowe kama kiongozi wa Kisiasa na mafanikio yake katika ardhi ya Tanzania na kwanini bado Siasa inamhitaji kwa udi na uvumba. Tukianzia hapa kwenye utawala huu, mtakubaliana nami kuwa Rais wa nchi aliapa kwa maneno yake kufuts upinzani nchini, Wengi walichukulia kama maneno raihisi tu ya majukwaani, lakini ile ilikuwa kauli ya kirais (decrees), na utekelezwaji wake ulianzia mbali na umefika pabaya sana,

Chama cha siasa kinakuwa hatari pale tu kinapokuwa kimekua kikubwa na kinauwezo wa kushika madaraka ya nchi, nje ya hapo hakiwi na hatari yoyote yaani kinakuwa kijiwe cha kisiasa na tumbo tu. Sasa ili uweze kuviua vyama vya siasa vyenye nguvu ambavyo vinatishia kushika madaraka, inatakiwa mambo makuu mawili tu, ambayo ni, kwanza uue uchumi wa viongozi wa vyama hivyo, hapa ndipo unamuona Lipumba, Mrema, Mbatia, Dovutwa, Zitto na wengine kwamba hawa sio threat kwa dola kwakuwa wanabei tena bei elekezi, yaani hawana utajiri wa pesa na hawana biashara yoyote zaidi ya biashara ya siasa tu.

Jambo la pili ili uviue vyama vya siasa vyenye nguvu ya kushika dola ni lazima kupandikiza mawakala wa ujasusi wa dola ambao watafanikiwa kumgombanisha Mwenyekiti na Katibu, chama chochote ambacho mwenyekiti na katibu wanaongea lungha moja huwa hakivunjiki haraka hata kama utafanikiqa hatua ya kwanza ya kufinya mirija yao ya uchumi binafsi.

Hatua za kujaribu kukiua chadema zilianza mbali na lilikuwa tangazo rasmi la kirais. Kwanza ilianza kwenye kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa ambazo ziko kikatiba na kisheria, hili lilikiwa pigo la kwanza kwa siasa na demokrasia nchini, Mbowe ni mmoja wao. Hatua ya pili ilikuwa ni wapinzani kusulubiwa kwa mkono wa mahakama, hili limeshuhudiwa uwingi wa wapinzani nchini katika mahakama za nchi nzima na kila aliyekosoa utawala huu ameonja mahabusu, Mbowe ni mmoja wao,

Hatua ya ratu ikawa ni kununua wapinzani huku utekaji wa kisiasa ukishamiri, wanasiasa wengi wa upinzani wakashindwa kuhimili, wakajisalimisha mikonini mwa dola na chama dola wakitafuta usalama wao kisiasa, wengi wakazawadiwa vyeo na madaraka, Lakini Mh Mbowe akakataa katakata kupiga magoti kwa watawala na kukiua Chadema sawa na ilivyouawa CUF,

Hatua ya nne ikawa kuwaondolea uchumi viongozi wa vyama vya upinzani na wote wenye mrengo tofauti na utawala, hapa Mbowe akiwa ndio mlengwa na ameathirika zaidi kuliko mtu yoyote, kwenye hatua hii ndio watu wetu wengi uzalendo kwa wananchi uliwashinda wakaamua kujisalimisha hata mgombea wetu urais ambae umma ulimpigia kura zaidi ya milioni sita, alishindwa kuhimili kibano hiki akakimbia kujisalimisha.

Kwa Mbowe walianza na kiharibu mashamba yake kule hai alikokuwa amewekeza zaidi ya 6 billions akiwa ni mfanyabiashara wa pili barani afrika kwakuingiza mboga na matunda katika sogo la ulaya, hapa akiwa nyuma ya Uhuru Family wanaoongoza kwa Afrika kuuza bidhaa hizo kwa soko la ulaya. Mradi huu uliharibiwa utoka kwenye bilioni 6 hadi kuwa sifuri kabisa kwa hoja za kijinga kwamba analima kwenye vyanzo vya maji, kumbuka mradi huo ulikuwepo tangu kabla ya Uhuru wa Tanganyika ambapo mzee Aikael Mbowe baba wa Freeman ndie mwasisi na watu wamazingira walikuwepo hawajawahi kutoa sababu hizo, mradi huu uliajiri zaidi ya watanzania 2,600, na mradi huo ulilipa kodi ya zaidi ya 3 billions kwa mwaka, watu wote hawa wakakosa kazi na serikali ikakosa kodi, Mbowe akagoma kuhama chama na kuuza chama.

Mbowe akaharibiwa biashara yake nyingine ambayo ni klabu ya starehe Bilicanas iliyokuwapo mtaa wa mkwepu posta jijini Dar es Salaam, kwa hoja za ajabuajabu klabu yenyw mtaji wa karibu 8 billions iliyoajiri Watanzania zaidi ya 200 na inayolipa kodi zaidi 2 billions kwa mwaka, ikavunjwa, yaani sio kuvunjwa tu kwamaana ya kuifunga, bali ikavunjwa kabisa na jengo kanakwamba kuna ujenzi unaanza, lakini mwaka wa nne huu pamebaki mbuga ya kuoshea magari na kuegesha nagari tu. Mbowe huyuhuyu hakutikisika,

Baada ya hapo Mh Mbowe akiwa bado imara, akaamua kwenda kuanzisha mashamba huko Morogoro akawekeza zaidi ya 6 bullions, tena ni kilimo cha umwagiliaji, huwezi amini kufumba na kufumbua mashamba yake yote yakiwa na mazao, yalifyekwa yote na majanga juu, hoja zao nikwamba amelima kwenye vyanzi vya maji, Mbowe huyuhuyu hakutikisika, akagoma kupiga magoti akabaki na Chadema,

Wakaona haitoshi, akaunti zake zote zikafungwa, yaani wakatika abaki mchangani kabisa, Mbowe akasimama wima hakutikisika akagoma kuuza chama, Lengo lote ni kuhakikisha Chadema inaanguka, na ili kuiangusha inabidi umuangushe Mbowe kiuchumi na kimedani. Unaweza kuona dhamira na machaguo ya dola kwamba haijalishi unachangia pato la taifa kwa kiwango gani bali ni kuhakikisha upinzani unakufa Tanzania

Wakaja na mkakati wa kimahakama, wakacheza nae mahabusu weee kesi ya mauaji ya Akwilina aliyeua hajulikani na hawajamfikisha mahakamani, lakini mshitakiwa ni Chadema (Viongozi) kwakinachoitwa maandamano bila kibali huku mlengwa ni Mbowe, Sasa wamekaa wamepima wameona hukumu itachelewa ukilinganisha na ratiba ya uchaguzi wa chama ili kufanikisha kukipora chama kama walivyofanya kwa Cuf, sasa wamekuja na mkakati wakumtumia msajiri wa vyama, na kwa hili mtandao ni mrefu unaohusisha vibaraka wa ndani na nje.

Unaposikia porojo za mara michango ya wabunge ambayo ipo kikatiba, mara ooho Mbowe ameiba 1.9 bilions, jambo wasilojua nikuwa Mbowe sio mhazini wa chama wala sio mtia saini wa pesa za chama. Kwamjibu wa katiba ya chama na miongozo ya chama, watia saini ni Katibu Mkuu wa chama, na Mkurugenzi wa fedha na uchumi, hawa ndio wadhibiti wa pesa za chama na sio Mbowe, lakini kwakuwa mlengwa katika propaganda hii ni Mbowe basi anabeba propaganda hii na sio ya kwanza.

Kwa nadharia ya kawaida Mbowe ameweza kusimama imara dhidi ya Taasisi hii, jaribio lolote la kuiangusha taasisi hii ni ushindi kwa maadui, Tukikaribia uchaguzi wa chama hapo December mwezi kesho, Chama chetu kina wanachama wengi wenye uwezo wa kukiongoza chama hiki, lakini Mbowe ni mwanachama aliyeweza na anayeweza kukabili misukosuko hii ya mkono wa chuma ndiomaana unaona dola na wanaccm ndio wanaohangaika kuhakikisha Mbowe anatoka madarakani japo wao sio wapiga kura.

Bahati nzuri mimi ni mpiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa Chama Taifa, nitakwenda kumuomba Mh Mbowe hata kama anakusudia kupumzika achukue fomu tena agombee na nitamchagua atuongoze kwa kipindi cha miaka mingine mitano. Mapito aliyopitishwa Mbowe ningekuwa na mamlaka ningempa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi.

Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe chini ya Chama imara cha Chadema katikatika ya mapito magumu. Kwanamna alivyoweza kukiongoza chama kuhandle suala la Kamanda Lissu na kuokoa uhai wake, kwa hakika Taifa la Tanzania na Wanachadema wamebarikiwa kuwa na kiongozi imara mwenyw hekima, busara na maarifa.

Nampa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Mbowe anaijua siasa, Mbowe anahekima, anashaurika na anaheshimu taaluma na wataalamu. Mhimu zaidi vijana wa Taifa hili tujifunze, siasa sio kama ibada za kanisani au msikitini ambako mila na destuli huaminiwa na kufuatwa.Tunaposhiriki siasa za kisasa tunashiriki kwakutumia akili ya juu sana sio asili ya juu.

Wanachadema uchaguzi ni wetu, turuhusu dola iue chama au tusimamie kuchagua mtu sahihi kama Mbowe?

Na Yericko NyerereView attachment 1224049
Una tofauti gani na wale PRAISE AND WORSHIP TEAM pale Lumumba, Hovyo sana wewe kijana.
 
Huu upuuzi wa Yericko kujifanya 'ana maarifa ya ujasusi'
ni moja ya matatizo makubwa ya CHADEMA

Mambo ya ujasusi ni kwa wanaharakati sio wanasiasa

mkishakuwa chama halali cha kisiasa kwa mujibu wa sheria mnachopaswa
kufanya ni kupigania haki zaidi za kisheria

na sio upumbavu wa kujifanya wanaharakati wenye majasusi na ujasusi..

na kumsikiliza huyu Yericko ambae ana claim jina Nyerere kimagumashi nako
ni wastage of time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom