Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watendaji wa Taasisi ya Mpango wa hiyari wa Kujitathmini katika vigezo vya utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutoka Tanzania na Namibia wamekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Kwema Wakuu! Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno...
12 Reactions
78 Replies
3K Views
Ikumbukwe hata mpigania Uhuru na baba wa taifa Mwalimu Nyerere ametokea kabila dogo la wazanaki kwa akina Genta🤣 Mchungaji Mtikila alitokea Upangwani huko porini kabisa Ni kama namuona...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi...
-1 Reactions
250 Replies
6K Views
Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu watawala, huu utekaji, utesaji na mauaji vinavyoendelea kushamiri katika nchi hii vinaligawa Taifa letu kimakundimakundi. Hali hii pia inajenga chuki katika Taifa. Mimi naomba...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Wakuu , natanguliza salamu . Mimi ni kijana Mtanzania wa kuzaliwa , Msomi ( namiliki digrii mbili na sidaiwi hata senti 5 na bodi ya mikopo ) na ni mfanyabiashara wa kimataifa Nachukua fursa...
45 Reactions
165 Replies
17K Views
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa? Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao? Imekuwa ni kawaida watu...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Wakuu, Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka. Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia...
54 Reactions
312 Replies
14K Views
Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma. Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania...
7 Reactions
130 Replies
18K Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye...
0 Reactions
6 Replies
856 Views
Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo Jumatatu Desemba 2, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mawakili wa upande wa utetezi yaliyotolewa na mawakili Boniface Mwabukusi na Philip Mwakilima kwa...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi...
9 Reactions
234 Replies
17K Views
Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea. Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho. Kama lipo tatizo lolote...
2 Reactions
15 Replies
896 Views
Salaam Wakuu, Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea walishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ushirikiano wa...
0 Reactions
4 Replies
628 Views
Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Muyaga 'C' Onesmo Saimoni Mdollo kupitia Chadema wa Kijiji cha Kitahana, kata ya Kitahana, Wilaya ya Kibondo ameokotwa asubuhi ya leo Jumatano tarehe 4/12/2024 akiwa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom