➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa...
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake.
Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo...
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala...
ACT wazalendo nayo ni kama imeingia rasmi kwenye mfumo wa upinzani wa kulalamika na kukurupuka bila kua na mawazo mapya, fikra wala mipango mikakati mbadala.
Zitto Kabwe ana tamani kurudi kwenye...
TAARIFA KWA UMMA
Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu
ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa...
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha
kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa.
Siku chache kabla ya uchaguzi wa...
Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya...
Wapendwa wanangu,
Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha.
Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS
Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi...
Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024.
Kupitia ujumbe wake, Rais...
Wanyama wote tukiwemo binadamu tumepewa Zawadi ya akili na Mwenyezi Mungu.
Akili ya binadamu ndio ile ile ya mnyama ndio Sababu Watoto Wadogo hupelekwa Madrassa na Sunday School Ili kuingiziwa...
Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.
Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon...
Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa,
Kwa jina naitwa ProMagufuli.
Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema.
Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea...
Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu...
..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe?
..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au...
SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?
AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?
PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa...
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga...
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Akiongea na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.