Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele. Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani. Haijarishi...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024...
20 Reactions
124 Replies
8K Views
Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuiletea Tanzania katiba ya kimageuzi! Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua...
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo...
65 Reactions
110 Replies
9K Views
Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ambayo mtu analeta mashite za kubeti anaitwa mwekezaji wakati kazi yake ni kwenda vijijini kuchukuwa pesa ! Kuna wachina wanamachine za ku bet wanaitwa wawekezaji...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
DCI ni Mkurugenzi wa Upelelezi Jinai DPP ni Mkurugenzi wa Mashtaka Mlale unono 😀
1 Reactions
2 Replies
208 Views
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Wananchi wa kata ya kiutu wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha wameandamana na kufanya kikao na Diwani wao wa kata hiyo Malaki Marambo Kwa lengo la kushinikiza kumkataa Mwenyekiti wao Hashim Saitabao...
0 Reactions
7 Replies
731 Views
Hivi sasa nchini kwetu imekuwa ni jambo la kawaida sana kusikia Polisi wamemkamata Mbunge fulani wa upinzani na kumweka ndani Polisi na baadaye kumpeleka mahakamani na kumfungulia mashitaka ya...
28 Reactions
115 Replies
8K Views
Uongozi wa ACT Wazalendo umekamilika kuanzia chini hadi juu kabisa Cha ajabu Zitto Kabwe ameendelea kuwa msemaji mkuu wa Chama Ngoja niipitie Katiba yao kwanza 🐼
1 Reactions
5 Replies
379 Views
Poliosi wazuia mikutano ya Chadema nchi nzima Saturday, 27 November 2010 06:41 IGP Said Mwema Waandishi Wetu HALI bado si shwari baina ya Jeshi la Polisi na Chadema baada ya chombo hicho cha...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Tafakuri Jadidi: Ninapotafakari Alichosema Mzee Warioba? Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana ameongea mbele ya Wahariri wa Vyombo Vya...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Kweli tumetoka mbali sana kisiasa jamani. Huyu mlinzi wa raia na mali zake aliwezaje kuwa na ujasili wa kumtamkia mgombea ubunge kuwa hata afanye nini kamwe hawezi kuupata huo ubunge? Kumbuka...
10 Reactions
73 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM umelaani vikali mauaji ya ndugu Michael Kalinga. Ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi La Machinjioni Makongorosi...
7 Reactions
102 Replies
4K Views
Ni ushauri tu maana kwa mfano Dar es salaam au Dodoma walipigana Vita gani Kadhalika nasisitiza sherehe za Mapinduzi Zanzibar ziwe za kudumu kwa sababu ni kumbukumbu ya damu za mashujaa...
2 Reactions
3 Replies
258 Views
Back
Top Bottom