Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA. Na Malick Maliki, Chamwino Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu! Dg zangu. Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa...
1 Reactions
1 Replies
358 Views
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na...
5 Reactions
16 Replies
766 Views
Nafuatilia kinamna siasa za nchi hii. Ni siasa za kihuni sana. Siasa ambazo wanasiasa wanaamini hawawezi kuishi bila siasa. Hawawezi kuishi bila kuwa chama tawala. Hawawezi kujitegemea bila Dola...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia. Ni jambo...
2 Reactions
11 Replies
693 Views
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato. Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Imeelezwa msibani Kwa Faustine Kuwa Tanzania itapeleka Mtu mwingine kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa na Rais ameahidi Serikali kumpigia kampeni Basdhi ya waombolezaji wakamtaja Dr...
12 Reactions
137 Replies
6K Views
Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo...
5 Reactions
11 Replies
765 Views
As I look at the ongoing crisis in Syria, I'm convinced that the only viable path forward is a three-state solution. This would allow the peaceful and productive communities of the Kurds and Druze...
2 Reactions
3 Replies
586 Views
Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu. Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya...
2 Reactions
1 Replies
356 Views
UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maendeleo ya Kweli (True...
3 Reactions
3 Replies
510 Views
Hata ukiwaorodhesha hapa Wapambe wote wa Freeman Mbowe kasoro Wawili au Watatu tu Wana Njaa Kali sana Tunakoelekea Mbowe atakuja kujijutia mwenyewe kama Netanyahu wa Israel kwa sababu ya kutaka...
1 Reactions
14 Replies
980 Views
Wanaosema Lissu anakosa busara wanatumia kipimo au vigezo gani kupima busara ya mtu? Ili kutokaririshwa mambo kijuha tu au kama kasuku ni vyema wanaosema Lissu anakosa busara waseme mambo gani...
2 Reactions
3 Replies
237 Views
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia...
1 Reactions
5 Replies
772 Views
MIAKA 63 ya UHURU na 4R za Rais SAMIA Na MALICK MALIKI,Chamwino,DODOMA Nelson Mandela aliwahi kusema ‘’Fedha haziwezi kutuletea mafanikio,ila uhuru wa kuzitafuta ndiyo utakaotuletea maendeleo’’...
1 Reactions
14 Replies
848 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Kamati Kuu ya chama hicho itakutana katika kikao chake cha kawaida Jumamosi, tarehe 14 Desemba 2024, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...
16 Reactions
77 Replies
4K Views
Hii haijawahi kutokea kwenye Chama chochote cha Siasa Press ya Mwenyekiti huusisha mambo Yote ya Chadema Sasa nini kilisahaulika ambacho Mbowe kamtuma msaidizi wake mh Tundu Lisu akiongee Leo...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Unaweza kukuta mchungaji Msigwa anaswali usiku na mchana Ili Mh Freeman Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema Project ya Msigwa Kwa sasa ni kumshambulia Mbowe na ndio inayompa ulaji hapo CCM...
2 Reactions
4 Replies
373 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…