Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Ninaamini alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Lissu, kwamba atakuja kugombea kupitia ACT Wazalendo.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
If you happen to use a little brain you have to think critically, you can conclude that God did not put the criteria through which judgement will base. No prerequisites and bases that if you do...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Askofu Dr Bagonza wa KKKT amewashangaa Chadema Kwa kuchafuana hadharani kisa Mwanachama mmoja katangaza Kugombea nafasi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe aliyedumu Kwa miongo Miwili Madarakani " Kama...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe "Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua Lema ameuliza...
11 Reactions
108 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika...
10 Reactions
139 Replies
7K Views
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe...
30 Reactions
270 Replies
13K Views
Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe. Kinachosikitisha ni...
2 Reactions
13 Replies
586 Views
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Aisee hii inanikimbusha wakati wa majadiliano ya wakandarasi wanajenga EACOP walisema watajenga vituo vya umeme wa Jua Ili kusukuma Mafuta Kwa upande wa Tanzania Kwa sababu hatuna umeme wa uhakika...
3 Reactions
12 Replies
980 Views
Hasara za wamangi (au viongozi wa kabila) zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kuathiri jamii nzima. Hapa kuna baadhi ya hasara hizo: 1. Ukabila na Mgawanyiko - Wakati viongozi wanaposhughulikia...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO. 1. Mbunge, 2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya), 2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii. 3. Mgombea...
5 Reactions
16 Replies
734 Views
Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hasa inayohusu uchumi. Mara kadhaa vyombo vya habari mbali mbali vimekuwa vikimualika Dr Bravious Kahyoza mchumi, ambaye kiukweli amekuwa...
3 Reactions
30 Replies
9K Views
Generali Ulimwengu amesema wanaosema Mbowe amekaa sana Madarakani Hawajui historia Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM kuanzia 1954 hadi 1990 Ulimwengu amewataka watu wasome historia Generali...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tomorrow -BBT) imeanza kuneemesha wanafuika wa programu hiyo kwa kuanza uvunaji wa zao la alizeti tarehe 19 Juni 2024 katika shamba la...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Uchaguzi wa viongozi wa vyama vya siasa na wale wa serikali una sheria, kanuni na taratibu zake ambazo zisipozingatiwa huweza kusababisha vurugu na kusambaratisha chama au nchi. Kwa ujumla...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na...
4 Reactions
133 Replies
5K Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom