Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,443
- 35,220
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.
Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.
Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.
Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.