Busara ya kiongozi au mwanasiasa inapimwaje?

Busara ya kiongozi au mwanasiasa inapimwaje?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,515
Reaction score
104,784
Wanaosema Lissu anakosa busara wanatumia kipimo au vigezo gani kupima busara ya mtu?

Ili kutokaririshwa mambo kijuha tu au kama kasuku ni vyema wanaosema Lissu anakosa busara waseme mambo gani wanayatumia kama rejea au ushahidi wa ukosefu wa busara.
 
Watanzania wengi hatuko logic.

Wana move na cloud thinking, ni wachache sana wanao weza kaa peke yao kutafakari jambo na kupima kwa ubongo wao binafsi.

Mm hii ndo nafasi ya kupima kama Chadema ni chama cha umma kweli, na kama kweli hawa jamaa wana uvumilivu wa kisiasa au ni kelele tu
 
Kuwa na busara ni kusifia viongozi, ukiwapa ukweli wao hadharani wafuata mkumbo wanasema ww huna busara.
 
Back
Top Bottom