Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora...
10 Reactions
143 Replies
7K Views
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Rais Magufuli aliahidi kumpa Tundu Lissu cheo serikalini kama akishinda. Binafsi naamini Rais Magufuli atatekeleza ahadi hiyo kwa Mhe. Lissu. Naamini Lissu...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa...
2 Reactions
5 Replies
572 Views
Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
5 Reactions
11 Replies
925 Views
Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa =============...
2 Reactions
11 Replies
596 Views
Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Inasemekana, barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Hellow!! Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua. Sasa umati uliojitokeza ndio...
4 Reactions
2 Replies
484 Views
Wakuu, Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu? Wajuvi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimewashangaa sana Chadema kusema kwamba Dira ya Taifa 2050 iangazie mazao machache ya biashara Ili yazalishwe Kwa Tija sanjali na kuangazia Mabadiliko ya kiteknolojia. Kwa mchango huu ni wazi...
0 Reactions
6 Replies
365 Views
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa. CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni kikao chenye Ajenda mbili tu. Hapa Viongozi wakuu wa Chama Wakisalimiana kabla ya kikao hicho kuanza Na hapa ni Hotuba ya Mwenyekiti mbele ya Wajumbe wa Kamati Kuu Usiondoke JF kwa...
14 Reactions
81 Replies
4K Views
Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa chama cha DPP, Philipo John Fumbo. Fumbo anawaambieni mzae kwa sababu Tanzani ni tajiri. Maneno haya alishawahi kusema kiongozi mmoja...
0 Reactions
16 Replies
611 Views
Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu...
0 Reactions
5 Replies
326 Views
Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Wakuu, Hivi haya mambo ya usawa wa kijinsia yatawezekana kweli? ================ Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na...
1 Reactions
7 Replies
447 Views
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa...
7 Reactions
142 Replies
11K Views
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa...
13 Reactions
236 Replies
26K Views
RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA. Na Malick Maliki, Chamwino Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom