Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba? Iweje...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni katika Kupiga jaramba kabla ya Mdahalo wenu hapo Star tv Mdahalo uko mubashara Citizen TV muda huu Ahsanteni Sana 😂
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
0 Reactions
18 Replies
786 Views
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena...
11 Reactions
95 Replies
5K Views
Ndiyo yule aliesema jua mvua Tanzania TLS Itapigania katiba mpya? Ndiyo yule yule aliesema atainyoesha serakali nini TLS Tanzania hii? Au huyu anaepiga madogo vyama vya upinzani kupitia account...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Kufutika ? jibu ni hapana ....CHADEMA haitafutika ila mpasuko wake kwa hizi tofauti za Mbowe na Lissu utakiporomosha sana na kwalo maana yake 2025 ELECTION Tanzania inaingia bila chama strong cha...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe? After all wote...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Kama kawaida sisi mitaani kwetu tunaendelea kuchukua hatua madhubuti dhidi ya wenyeviti waliopachikwa. Sisi hatupigi mtu, isipokuwa yeye mwenyewe anaamua kuachia ngazi. Njia...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Nilitarajia Chuo Kikuu cha SAUT ambacho kimetajwa sana katika mitandao kuhusu tukio la mmoja wa wanachuo, walau kiseme kaneno kamoja kuhusu jamii inayoishi hapo na maadili. Labda pengine kitendo...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga. Evarist...
10 Reactions
87 Replies
6K Views
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Huyu Tundu Antipas Lisu hotuba Moja tu imesimamisha Mijadala yote ya Siasa Watu wanajadili madini yake tu Hapa Lumumba wengi wanampongeza 😄😄
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Watu wengi wanauliza swali la kijinga sana kwamba ni lini Mwenyekiti wa sasa alitangaza atagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema Ni swali la kijinga kwa sababu Katiba ya Chadema iko Wazi kwamba...
2 Reactions
7 Replies
436 Views
Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Chacha wangwe alikufa kifo Cha kutatanisha baada ya kuutaka uwenyekiti chadema Inawezekana maadui walipitia kwenye mgogoro wao wakamfyeka lakini Mbowe hakuona Kama ni kosa!! Zitto kabwe ni kweli...
0 Reactions
6 Replies
415 Views
Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
1 Reactions
11 Replies
827 Views
Back
Top Bottom