Dr Kigwangalla alifaa zaidi WHO

Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO.

1. Mbunge,
2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya),
2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii.
3. Mgombea Urais JMT, 2015
This is a good joke......huyu huyu Hamisi tunaye mjua sie........
Alitia JANABA ndege yetu ya TANAPA...
 
Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO.

1. Mbunge,
2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya),
2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii.
3. Mgombea Urais JMT, 2015
Qualification ya elimu ikoje? Kule hawaendi watu sababu alishika ununge na uwazir. Wanaenda qualified
 
Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO.

1. Mbunge,
2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya),
2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii.
3. Mgombea Urais JMT, 2015
Mnavyotaja hii nafasi utadhani mmeambiwa kuwa ni specific kwa mtanzania
 
Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO.

1. Mbunge,
2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya),
2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii.
3. Mgombea Urais JMT, 2015
Kigwangala na yule mwingine anaeitwa Dr mollel wa siha,sijui udokta waliupataje

Wanaowateua sijui hua wanaona nini kwao,ni matatizo
 
Back
Top Bottom