Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati Kuu ya Chadema imekutana kujadili mambo kadhaa Taarifa zaidi ya kinachojadiliwa itakujia baada ya Kikao hiki. Usiondoke JF
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe. Ratiba za mkutano yake na hata contents za...
1 Reactions
6 Replies
497 Views
GT wa JF naomba mnisamehe kwa kuwaharibia mood zenu kwani kuna huu ufisadi wa mradi wa bilioni 150 ambao tunaambiwa kuwa JK ame sign huko USA Sasa mkitaka kujua kama huu ni ufisadi wa kutisha...
32 Reactions
421 Replies
90K Views
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Alitoa kauli hiyo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa . Ambapo yeye...
2 Reactions
5 Replies
697 Views
Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Je, unakubaliana nayo hii tweet ?
32 Reactions
49 Replies
3K Views
Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni...
5 Reactions
137 Replies
18K Views
Kiukweli mahudhurio ya Wananchi bila kujali dini zao Kwenye Mkesha wa Funga Mwaka " Chako ni Chako" pale Kwa Mtume na Nabii Mwamposa yameonyesha Wazi yeye ndiye Moyo wa Taifa hili Kwa sasa...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Haya ndio Maajabu ya Tanzania! Anaye enziwa Bibi Titi hata vipeperushi vyake Hakuna! ukiacha Bango la kuvutia watu ili waje kwa wingi Hotuba zote zimejaa sifa kwa Mchengerwa, Chawa wote wa...
0 Reactions
13 Replies
766 Views
Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M...
1 Reactions
11 Replies
818 Views
Hii ndio Taarifa mpya ambayo Chama hicho kimesambaza Duniani Kote leo hii Je Na yeye anataka kutangaza nia ya Kugombea Uenyekiti? Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika.
4 Reactions
12 Replies
953 Views
Habari za jumapili! Lisu ni wale watu wasiouogopa ukweli. Watu hao huitwa Jasiri wa asili. Lisu hata akikosea yeye haoni tabu ukimchana makavu na hata yeye kujichana makavu kuwa amekosea. Huo...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea. Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa...
42 Reactions
162 Replies
5K Views
Wakuu, Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa == Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya...
4 Reactions
7 Replies
848 Views
Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Mh Ado Shaibu ametofautiana na Naibu Katibu mkuu wa Chadema Mh Benson Kigaila na kumuelimisha kuwa Chama Cha siasa siyo Mali ya Mtu Binafsi Shaibu amesema Vyama vya...
1 Reactions
4 Replies
409 Views
Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Back
Top Bottom