Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
20 Reactions
158 Replies
8K Views
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Mmoja ya wakufunzi wangu Mis Pam Overend juzi alinifunza mada ngumu sana katika uwanja wa mapambano (Module: Psychology GCSE). Alisema uwanja wa mapambano haumilikiwi na mtu mmoja au kikundu...
31 Reactions
91 Replies
10K Views
Nimeona mtanange wa Mbowe vs Lisu unaelekea kuwa personal hasa baada ya Mbowe kumwita mwenzake Mbangaizaji Tundu Lisu ni Mwanahistoria unapoingia kwenye Vita Binafsi na Watu wa aina hii yakupasa...
3 Reactions
15 Replies
830 Views
Chadema imetangaza Uzinduzi wa Album yao utafanyika tarehe 09/01/2025 John Pambalu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu anesema Ukurasani X Uzinduzi utaongozwa na MC Mwingira Mikocheni HQ viongozi...
0 Reactions
8 Replies
504 Views
WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Mimi sio mwanachama wenu ila nimesikia kuwa kavunja Katiba ya chama chenu kule X lakini mpo kimya? are u selective?
1 Reactions
25 Replies
853 Views
Mwakani ni kula wali tu, ugali kama wote, halafu mtu aniambie niandamane nikapigwe rungu, huo wali ntaulaje? Mimi hapa nimemaliza katiba ya maisha yangu, hiyo nyingine haiwezi niletea wali...
1 Reactions
13 Replies
642 Views
Mbunge Nape Nnauye ametoa yake ya moyoni kwa kuhoji vyama vya siasa na wanasiasa Tanzania wanajifunza nini kufuatia mchakato wa uchaguzi ndani ya chama tawala cha (ANC) uliofanyika Afrika Kusini...
22 Reactions
204 Replies
21K Views
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu. Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana. Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio...
7 Reactions
11 Replies
648 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri . Ameibuka kibabe na...
3 Reactions
95 Replies
5K Views
Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake. Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania...
13 Reactions
85 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tundu Lissu. Ni baada ya Lissu kuomba kuonana...
70 Reactions
410 Replies
33K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
22 Reactions
189 Replies
12K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Baada ya Mzee Mwinyi kutoa maoni yake kuwa kama isingekuwa ni Matakwa ya kikatiba, angependa Rais Magufuli awe Rais wa muda wote, kuna povu jingi linawatoka viongozi na...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Freeman Mbowe ni mjanja. Mjanja sana tena wa kiwango cha PHD. Kaanzisha mjadala mkubwa kwenye social media kuwa wabunge wa CCM wamegawana fedha za Rushwa kiasi cha milioni...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Godbless Lema amewaonya akina Yeriko Nyerere kwamba waache kutumia maneno makali kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Kwa sababu mwakani ni zamu ya chadema kukamata Dola na viongozi waandamizi Mbowe na...
5 Reactions
9 Replies
515 Views
Back
Top Bottom