Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu. Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote. Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi! Hakuna kosa kubwa kama...
19 Reactions
143 Replies
4K Views
Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari...
3 Reactions
21 Replies
847 Views
Anaadika Mo Mlimwengu. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye...
2 Reactions
7 Replies
595 Views
Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la...
12 Reactions
124 Replies
4K Views
Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake. Kwenye historia amesema...
27 Reactions
123 Replies
25K Views
Mtume Muhammad (SAW) alitoa muongozo thabiti kuhusu namna ya kupata kiongozi wa jamii. Uongozi katika Uislamu ni jukumu kubwa na ni amana inayopaswa kutekelezwa kwa haki, uadilifu, na unyenyekevu...
0 Reactions
3 Replies
428 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za...
10 Reactions
141 Replies
6K Views
Wadau muda mdogo mambo mengi Picha imekataa, kuhusu kuunga mkono mazungumzo ya chadema na bi Samia
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi...
0 Reactions
7 Replies
744 Views
Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa...
1 Reactions
2 Replies
317 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea nafasi ya Uenyekiti, TunduALissu akizungumza kupitia clubhouse usiku huu amesema, kauli ya Mhe. Ezekiel Wenje hazina ukweli wowote na kwamba hamdai hata...
3 Reactions
13 Replies
850 Views
1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala...
2 Reactions
8 Replies
717 Views
Habari mhe. Lissu, Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki...
50 Reactions
79 Replies
4K Views
Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Mwaka 1994, wana CCM waliokuwa wakifaidika chini ya utawala wa Rais Mwinyi, kwa kuogopa mabadiliko, hawakutaka ang'atuke baada ya kumaliza kipindi chake. Kampeni kubwa ilifanywa ya kutaka Katiba...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa...
1 Reactions
5 Replies
482 Views
Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia...
5 Reactions
11 Replies
981 Views
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi. Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake...
16 Reactions
65 Replies
4K Views
Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna Id humu zilikuwa zinaaminika kwa kipindi kirefu sana kama id za watu makini ambao ni wana mageuzi ya kweli. Id hizi zilijitanabaisha kuwa watu ambao ni wana mageuzi kweli ambao kamwe...
4 Reactions
10 Replies
676 Views
Back
Top Bottom