Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu

Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,944
Reaction score
63,719
Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa.

Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi.

Rais Mstaafu Tanzania Benjamin William Mkapa alifika mbele ya mahakama akiwa ni shahidi wa kwanza upande wa utetezi katika mashataka yanayomkabili aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Italia Profesa Costa Mahalu. Mwaka 2012

"Akijibu swali la wakili upande wa mashtaka ni kwa nini malipo ya shilingi Bilioni mbili na milioni 900 yakafanyika kwa kupitia akaunti mbili tofauti, Bwana Mkapa ameiambia mahakama hiyo kuwa alijulishwa kuwa hilo lilikuwa sharti na muuzaji nyumba na hivyo kwa upande wa serikali hakuona kama kuna tatizo akizingatia kuwa thamani ya jengo iliishafanywa na kuwaridhisha wao kama serikali huku kukiwa na mahitaji makubwa ya Serikali ya Tanzania kuwa na majengo ya kudumu ambayo yangemilikiwa na serikali."
 
Back
Top Bottom