AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,374
- 3,383
Wenzetu mtujuze na ilifanyaje?
By definition, it’s a mock court in which the principles of law and justice are disregarded or perverted. The defendant loses the case, no matter what!Wenzetu mtujuze na ilifanyaje?
Ni mahakama isiyo na uwezo wa kuamua yenyewe, hadi isikilize maelekezo cha kufanya 'toka juu'.Wenzetu mtujuze na ilifanyaje?
E.g The High Court of The United Republic of Danganyika.By definition, it’s a mock court in which the principles of law and justice are disregarded or perverted. The defendant loses the case, no matter what!
Taratibu mkuu, huna unachokijua hapo hajatumia jina baya lolote hiyo ni moja ya neno la kisheria kama nyie HKL mnavyoleta misemo yenu ya kizaramo...tulieni mfundishwe sheriaUkishindwa kesi lazima uiite mahakama majina yote mabovu
Neno hilo halitokani na kushindwa kesi bali ni 'kijimsemo' cha kiingereza kuelezea mahakama zisizotenda haki.Ukishindwa kesi lazima uiite mahakama majina yote mabovu
Hiyo ni nature...kamwe huwezi kuipenda mahakama unaposhindwa kesiTaratibu mkuu, huna unachokijua hapo hajatumia jina baya lolote hiyo ni moja ya neno la kisheria kama nyie HKL mnavyoleta misemo yenu ya kizaramo...tulieni mfundishwe sheria
Alutaaaaa kontinyuuuua
aliyetoa msemo huo alishindwa kesiNrno hilo halitokani na kushindwa kesi bali ni 'kijimsemo' cha kiingereza kuelezea mahakama zisizotenda haki.
Kangaroo courts ni mahakama ziilizowekwa mfukoni na wahuni wachache. Mara nyingi maamuzi yake ni yale yasiyofuata haki, yamepangwa tayari hata kabla ya hukumu ya mwisho kutolewa, yamejaa maigizo na utatanishi.Wenzetu mtujuze na ilifanyaje?
Taratibu mkuu, unaweza kuniambia nani kashindwa kesi hapo?Hiyo ni nature...kamwe huwezi kuipenda mahakama unaposhindwa kesi
aliyetoa huo msemo alikuwa ameshindwa kesiTaratibu mkuu, unaweza kuniambia nani kashindwa kesi hapo?
Twende taratibu, unajua maana ya kushindwa kesi kwanza?? Au najibu zero brain hapa ambae hajui lolote unaandika mambo kwa kufata upepoaliyetoa huo msemo alikuwa ameshindwa kesi
Aliyetoa msemo huu alishindwa kesi...wewe ni mtanzania maana inaonekana kiswahili hukijuiTwende taratibu, unajua maana ya kushindwa kesi kwanza?? Au najibu zero brain hapa ambae hajui lolote unaandika mambo kwa kufata upepo
Njoo taratibu mkuu, Mimi na ww nani hajui kiswahili??? Kwanza unapotumia neno "alishindwa kesi" unataka kumaanisha nini?? Au unataka nikuulize baada ya kushindwa kesi alihukumiwa nini?Aliyetoa msemo huu alishindwa kesi...wewe ni mtanzania maana inaonekana kiswahili hukijui
Ukishindwa kesi lazima uiite mahakama majina yote mabovu
Hawezi kukujibu Hilo maana Hawa vijana wameanza kufatilia mambo ya nchi baada ya October 29 wana mihemko tuRostam alisemaje kuhusu mahakama zetu??