Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!. Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani...
2 Reactions
4 Replies
683 Views
Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake...
0 Reactions
2 Replies
659 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR (2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI" Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa...
1 Reactions
1 Replies
377 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani. Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
12 Reactions
74 Replies
4K Views
Ukraine imeandikisha mauzo ya bidhaa za Kilimo Nje ya Nchi Zenye zaidi ya Dola bil.24 ikikaribia rekodi ya kabla ya vita mwaka 2021. Wazungu ni watu wenye akili sana.Just imagine vita ilivyopamba...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu. === Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama. Bila kukupotezea Muda naomba...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
2 Reactions
11 Replies
971 Views
Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza...
72 Reactions
574 Replies
38K Views
Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa...
1 Reactions
5 Replies
605 Views
Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu...
0 Reactions
4 Replies
468 Views
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa...
27 Reactions
609 Replies
58K Views
Nauliza Kwa Nia nzuri tuu Inamaana chama chenu ni ngome ya wasaliti? Nauliza huku kwetu msaliti nani mbona simkumbuki hata mmoja? Je nani kwenu ni muaminifu katika mliopo? Alikuwapo shujaa Chacha...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa? Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini. Je...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Aidan Eyakuze anaondoka Twaweza East Africa ambapo aliku Mkurugenzi Mtendaji baada ya takribani muongo mmoja wa uongozi wa maono. Aidan anatarajia kujiunga na Ushirikiano wa Serikali Wazi (OGP)...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbowe anaona vijana wake anao walea na kuwaleta mjini wana dharau. Lakini anasahau inawezekana kabisa wana nia njema ya kuiokoa Chadema na Tanzania. Kwa Watanzania wengi wnakubaliana na Lissu na...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma. Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini...
9 Reactions
143 Replies
5K Views
Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
3 Reactions
14 Replies
867 Views
Back
Top Bottom