Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,729
Reaction score
62,863
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 19 za maamuzi.
 
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
porojo zingine bana 🤣
 
Yeye and jis cronies, wakifuta misaada hawata athirika kwa lolote, hivyo atachagua kukaidi, kutomwachia Lisu.
Wangelikuwa na uwezo wa Kum-MADULO, angeliamua kumwachia.

Ushauri kwa Samia: Acha kesi iendelée harakamahakamani, then mahakama imwachie. Utakuwa umemaliza mchezo
 
Back
Top Bottom