ok. 🐒CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.
Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
Baada ya Lissu kuwafokonyoa kisawaswa leo kwenye defenceCCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.
Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
Aione britaniccaNchimbi kaleta balaa
CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.
Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
Walafi wa madaraka hao.. huenda kuna mmoja wao wanataka kumtoa kafara , japo suala la kesi ya mchongo waliyompa Lissu nayo inawapasua kichwa sana
CCM wameitisha NEC ya dharura keshokutwa (Jumatano), Dodoma.
Huenda kukawa mambo mapya yataibuka?
ccm ni zaidi ya gereza!Bahati mbaya sana hakuna yeyeto mwenye uthubutu wa kuongea au kutoa mawazo yake kwa sasa. Wajumbe wataenda pale watalipwa posho zao, watamsikiliza mwenyekiti ajenda ya kwanza, wataunga mkono, ajenda ya pili wataunga mpaka ajenda ya mwisho zote wataunga mkono. Kikao kitafungwa, picha sitazambazwa mtandaoni.
Hakuna mwenye uthubutu wa kuongea au kutoa mawazo mbadala. Hapo ndo CCM ilipofika.
Sasa kwanini wanatumia majeshi?Tukiongelea nguvu ya Chama kama Chama lazima tukubaliane kuwa CCM ni Chama kikubwa.