anaongeza kuwa klabu za uongozi ni msingi wakuwajenga wasichana kujiamini na kuwa viongozi wa baadaye.
Kwa Skuli ya Benmbella, Mwalimu Bakari Mohammed anaeleza kuwa uchaguzi wa serikali za...
Huu msemo anaupenda sana Lema wa.CHADEMA "karma.is bitch"
Dr Slaa Alie sikitika wanachama wa.CHADEMA kukusanyika kwenye viunga vya Mahakama kusema Mbowe sio Gaidi Leo hii yupo sero siku ya 28...
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari.
Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti...
Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya...
Uteuzi wa Emmanuel Nchimbi kuwa katibu mkuu wa CCM, kwa wanaokumbuka watu aliowapiga chini, walishangaa na kujiuliza kunani mteule wa Magufuli anawakumbatia aliowakataa aliyemtengeza?
Kabla ya...
Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri...
Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho...
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344.
Kampeni hii...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan...
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!!
Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021, mwezi wa kwanza tu hata hajajua korido za Ikulu alianza kumzodoa. ANA...
Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa CHADEMA mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia.
Kabla ya uchaguzi alikuwa akitwiti kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi...
Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi
Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake...
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Magomeni Kagera.
Polisi walilazimika kutumia risasi (kufyatua hewani) katika kuhakikisha wanawatia mbaroni. Anaitwa Mharami Chonji Mohamed.
Taarifa...
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila...
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatuhabarisha ya kuwa Dr. Slaa anamtuhumu JK ndiye mmilki halali wa DOWANS......................hili likiashiria ya kuwa kumbe kashfa nzima ya ufisadi dhidi ya...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu...
Sherehe zinazofanyika ktk nchi hii chini ya kile chama, bajeti zake ni kubwa mno hata kw akufikiria tu.
Uki imagine kwamba hii ni Nchi maskini huku wanatujazia Madeni kila mwaka utaamini kabisa...
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na...
Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na...
Kwenye Mkutano wa G20 kule Brazil, Tanzania ndio inaaminika kuwa na ujumbe wa watu wengi sana pale, inazidi hata wenyeji wa huo mkutano, Tanzania imeambatana na ujumbe wa watu zaidi ya 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.