Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu! Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee Sasa kwa la...
-1 Reactions
4 Replies
546 Views
Andamaneni, fanyeni mnavyoweza na ENDELEENI KUPOTEA SANA. Kwa mujibu wa Rais Samia HIZO ZOTE NI DRAMA TU.
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Hili Swali nimejiuliza sana bila kupata majibu. Ni dhahiri Wasanii wa Tanzania ni Tawi la CCM, na kwa vile Vitengo vyote vya Chama hicho vimehamishiwa Dodoma, Sioni sababu yoyote ya Wasanii hawa...
8 Reactions
15 Replies
960 Views
Hili jambo huwa linanishangaza kidogo kwa sababu CCM ni nguli wa Muziki wa Jazz, Kwaya na Ngoma za Kienyeji Zamani huwezi kuwa mjanja wa Mjini kama hutimbi Mbowe Hotel baadaye Billicanas Watoto...
1 Reactions
9 Replies
512 Views
Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hi there! Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago: Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed Published: February 27, 1982 Hijackers demanding the resignation of...
4 Reactions
191 Replies
60K Views
Wakuu, Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Siasa za mchakamchaka huzuwezi. Hujawahi kuwekwa lupango, hujawahi kupigwa kirungu. Hujawahi kufikia level ya Wenje ktk harakati za upinzani za kwenda ughaibuni Umechukuliwa kama favor baada ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake (2) Watoto zao hawasomi shule za kata (3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu (4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai Sasa...
0 Reactions
5 Replies
368 Views
U.N. peacekeepers were killed in Congo. Here’s what we know. By Christoph VogelDecember 8, 2017 peacekeepers were killed and dozens more wounded in an attack on the U.N. peacekeeping mission...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimefurahi kwa juhudi zako za kisoma na kutambua upuuzi wa NGOs nyingi zinazotuletea mambo ya ajabu ajabu kupitia misaada ya fedha ambazo kimsingi ni fedha zetu walizotuibia kipindi cha ukoloni na...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari za jioni wadau. Naomba niweke wazi kuwa mimi napenda nchi kama nchi ijitegemee kwa asilimia mia moja lakini pia natambua jambo hili laweza kuchukua muda kutokana na historia ya Taifa na...
6 Reactions
131 Replies
12K Views
Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Tundu Lissu BBC akiongelewa tukio lake la kupigwa risasi. Kitu interesting kuhusu hii interview ni namna ambavyo Masilingi alishindwa kupambana na hoja za...
4 Reactions
7 Replies
699 Views
Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa...
1 Reactions
1 Replies
441 Views
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi, kiuchumi, kiutamaduni na kihuduma. Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kulikuwa na Nyuzi mfululizo hapa Jf na kwingineko, kwamba umati wa viongozi wa Chadema wangeungana na Mchungaji Msigwa huko CCM, na kwamba umati huo ungejiunga na CCM siku ya kuadhimisha miaka 48...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo amesema serikali haipaswi kulaumiwa kwa ukosefu wa haki kwenye vyombo vya sheria, bali lawama ziende kwa watendaji kwani sheria zipo wazi. Akichangia hoja ya...
0 Reactions
14 Replies
720 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi. Majaliwa...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom