Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan...
19 Reactions
718 Replies
87K Views
Mnamo 2020 tuliletewa baraka na Mungu ya kuwa na mgombea kutoka CCM NDG.PRISCUS TARIMO na tukampa kura za ndio tukiamini Atafanya maendeleo japo kidogo ambapo chadema walishindwa kabisa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni. Ambao wana lengo la...
5 Reactions
153 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Wapo baadhi yetu ambao wanaamini kuwa "sera za CCM ni nzuri ila zimekosa watekelezaji tu". Wapo wanaoamini kuwa sera hizi ni nzuri sana vitabuni ila hazijapata watu wazuri kuweza kuzifanyia kazi...
17 Reactions
87 Replies
15K Views
"Awali ya yote napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid mubarak" Salamu kwenu wanajamvi!! Poleni na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha mkono unaingia kinywani. Najua tunapitia wakati mgumu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpendwa Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, Natumaini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako. Katika barua hii, ningependa kukuletea masuala muhimu yanayoathiri utendaji kazi wa...
1 Reactions
2 Replies
456 Views
MAHOJIANO YA DK SLAA NA COUNTYR FM(88.5) Mwandishi wa Chanel ten Iringa Daud Mwangosi (kushoto) akimhoji mgombea urais wa Chadema Dk Slaa Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho. Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado...
31 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu, Ndugu zangu Tlaatlaah johnthebaptist FaizaFoxy Lucas Mwashambwa na genge lenu bado mnaona Lissu 'anaropoka' au dawa ishaanza kuwaingia? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Ila kwa jinsi...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Nimeona nitengeneze thread itakayoweka link ya kwenda kwenye thread zenye shutuma za ufisadi au topic zozote zinazogusia ufisadi. Hii itasaidia mtu yeyote atakayependa kuwa na quick reference na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Upinzani:Kila Mtanzania anadaiwa milioni 137 Na Joseph Lugendo, Dodoma KAMBI ya upinzani bungeni, imeibua madai ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali yaliyosabisha kupotea kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni sanaa na maigizo au ni ukweli!? CIA zaidi ya wabongo? au FBI... Bado nina mashaka..... japo inaweza ikawa kweli.. Lazima afe..kwasababu Marehemu anafahamu mengi! Huyu nabii ni kiboko...
0 Reactions
1K Replies
137K Views
Slaa anyaka skendo lingine 2008-01-24 17:22:18 Na Job Ndomba, Jijini Yule mbunge maarufu wa kulipua maskendo, Dokta Wilbroad Slaa (CHADEMA-Karatu) amenyaka skendo jingine bab`kubwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Mkoani Simiyu, Njalu Silanga amesema kuwa serikali imefanya kazi kubwa ya kuboresha sekta ya kilimo, ambapo Wilaya hiyo imepokea matrekta 35 kwa ajili ya kulima...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Ufisadi BoT: CCM matatani Waandishi Wetu Januari 23, 2008 Raia Mwema CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake vi mtegoni, na itabidi kuamua kusuka ama kunyoa kwa kuwa kuna uwezekano...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI...
41 Reactions
307 Replies
13K Views
Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani...
2 Reactions
5 Replies
593 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala, Huku...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom