Thread zenye shutuma za Ufisadi

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Nimeona nitengeneze thread itakayoweka link ya kwenda kwenye thread zenye shutuma za ufisadi au topic zozote zinazogusia ufisadi. Hii itasaidia mtu yeyote atakayependa kuwa na quick reference na pia kwa kusudi la kuokoa thread zilizopita zisisahaulike upesi. List itaendelea kuwa updated overtime...na pia jisikie huru kuchangia

'desperate times call for a desperate measures'

1. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/9131-cis-180bn-scam-tanzania-govt-act.html
- hii thread inafuatilia pesa zilizokopwa kutoka Commodity Import Support Fund (CIS) na madai yake
2. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/29351-ni-ufisadi-wa-spika-samwel-sitta.html
-hii inamlenga spika wa Bunge (Samuel Sitta) na tetesi mbalimbali za ufisadi wake
3. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-dhidi-ya-ufisadi-wapi-tunafanya-makosa.html
- kama title inavyojieleza...thread inaangalia silika ya ufisadi nchini na wapi pa kujirekebisha
4.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/2670-bot-scandal-tulikotoka-tulipo-tunakoelekea.html
- hii ndo EPA, ni ya zamani kidogo, lakini ndo hivyo, tunaweka rekodi
5. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5389-mrema-na-slaa-wazungumzia-vigogo-wa-ufisadi.html
- hii ilikuwa mwaka 2007 - majina ya "mafisadi vigogo" yawekwa live: post ya tatu chini naweka quote ya hayo majina yaliyotajwa.
6. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/14378-kutoka-dodoma.html
- Uchawi wa Change ndani ya Bunge na kikao dharura cha NEC - hii ilikuwa June 2008
7. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/16241-kifo-cha-mhe-chacha-wangwe-na-uchunguzi-wake.html
- Kifo cha Chacha Wange na maswali yaliyobaki wazi...
8. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/35211-ephraim-mremana-ufisadi-uliokithiri-tanroads.html
- mambo ya TANROADS hayo na 'inflated' bei za kutengeneza barabara
9. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/35215-drugs-worth-millions-go-missing-in-tanzania.html
- haya sasa...ufisadi hadi kwenye madawa
10. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ki-digrii-za-kununua-na-watumishi-vihiyo.html
- haya hii inaangalia vyeti feki vya viongozi mbalimbali
- ni ndefu kidogo...kwa hapa kuna nyingine inayomuangalia (Dr) Nagu na (Dr) Makongoro
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-nagu-na-phd-kutoka-chuo-kisichosajiliwa.html
11. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...amingo-apewa-tenda-aliyonyimwa-mtanzania.html
 
Last edited:
kuna hii post ya Bubu Ataka Kusema niliipenda sana kutoka hii thread no.1 - pessa ya CSI:
Bubu Ataka Kusema said:
Twin Towers Billioni 221
CIS Billioni 199
Richmond Billioni 172
Richmond Billioni 23
Meremeta Billioni 155
EPA Billioni 133
Rada Billioni 40
Jumla Billioni 922

Wacha tubaki nyuma kimaendeleo maana mafisadi wamechota zaidi ya Shilingi Trillioni ukiweka na kashfa nyingine za ufisadi bila aibu wala woga!!!
 
Last edited:
duh...naona thread imehamishwa tena. Ningependa Mods hii iwe wazi kwa watumiaji wote - registered na unregistered. Sasa ikiwa humu - Compaints, Congrats, Advice, access yake inakuwa limited to registered users pekee.
 
haya hii imetoka kwenye thread number 5 hapo juu, thread iliyotaja majina ya mafisadi:
Tumetajiwa Watu hawa na Mh. Slaa kuwa ndio Vigogo wa Ubadhirifu Tanzania,na kwa maelezo yake ni watu ambao wanapaswa kutoa majibu kwa Tuhuma zinazowakabili.Majina ni mazito na Mh.Slaa anaendelea kutoa somo Dhidi yao!!Naweka majina yao hapa Waungwana!

1;Dr. Daud Balali.
2;Andrew Chenge.
3;Basil Mramba.
4;Gray Mgonja.
5;Patrick Lutabanzibwa.
6;Nimrod Mkono.
7;Edward Lowassa.
8;Rostam Aziz.
9;Nazir Karamagi.
10;Benjamin Mkapa.
11;Jakaya M. Kikwete.

Sababu haijulikani,lakini list ipo kwenye mlolongo huo,naona Waheshimiwa marais wamewekwa mwisho!
 
Back
Top Bottom