Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na...
21 Reactions
69 Replies
3K Views
My Take Wale wa Bandari imeuzwa sijui kukodoshwa waje hapa kumwaga povu tena. Je ukodoshaji umeleta liability au profitability na assets? Namba zinaongea,emotions zinadanganya...
4 Reactions
52 Replies
523 Views
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Serikali inatarajia kukopa jumla ya shilingi trilioni 15.54...
2 Reactions
6 Replies
234 Views
Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja...
4 Reactions
17 Replies
287 Views
Hakuna ubishi. Kwa sasa super power pekee iliyopo duniani ni Marekani tu. U super power wa Marekani haupo kwenye masuala ya kijeshi tu. Bali, hawa jamaa wanadhibiti, kwa kiasi kikubwa, mifumo...
31 Reactions
65 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefungua shauri la kiraia namba 13832 la mwaka 2026 lililofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya wadhamini waliosajiliwa...
0 Reactions
5 Replies
304 Views
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania...
13 Reactions
85 Replies
2K Views
Naona kuna ukakasi kutumia neno ‘Mahakama ya Tanzania’—ni sahihi kuitaje vipi kwa mtindo rasmi wa kisheria?” MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama...
3 Reactions
12 Replies
141 Views
The FY 2026/27 budget is essentially Tanzania trying to push its economy into a more “production and infrastructure first” phase, rather than consumption and aid dependency. At the core, the...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Mimi binafsi niliona mahakama imepoteza mwelekeo kitendo cha kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa Tundu Lissu...
2 Reactions
5 Replies
209 Views
Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa. Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa. Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu...
10 Reactions
39 Replies
527 Views
Kuna baadhi ya Wazanzibar wameonja nyama za watu, hawataki kuacha kuzila, kama alivyosema Nyerere Wapo baadhi yao wasio na uwezo mzuri wa akili wameanza chokochoko na kelele kwamba Watanzania...
8 Reactions
30 Replies
441 Views
Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje? Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje? Ikigundulika wanafurahia kesi zote...
11 Reactions
38 Replies
593 Views
Wewe na Mbatia mlifanya Kazi moja, Sasa kabla hatujafunguka zaidi SHUT UP, Vinginevyo utakimbia Nchi, wewe ni miongoni mwa Wahujumu wakuu wa Maalim Seif Ukiendelea kuropoka tutaanika kila kitu
7 Reactions
9 Replies
244 Views
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, D.C., nchini Marekani. Katika ziara yake hiyo...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza kiama kwa wacheza kamari nchini baada ya kupendekeza tozo...
3 Reactions
19 Replies
441 Views
Ninatamani niwarudishe wote wanaomshambulia Mheshimiwa Saada Mkuya kidato cha pili ili wakasome upya Civics kuhusu mambo ya muungano. Inakera kuona watu wanaoheshimika kwenye jamii kushindwa kujua...
7 Reactions
30 Replies
412 Views
Hizi kauli RASMI zitokazo vinywani mwa Mawaziri wa CCM ndani ya Baraza la mapinduzi Zanzibar jee zinayofauti gani na matendo wafanyayo Wajinga kadhaa kule Afrika kusini dhidi ya wageni? Yaani...
1 Reactions
6 Replies
130 Views
Nimeona huyo Sauda Mkuya aliyewahi kuwa waziri wa Fedha wa serikali ya muungano kuwa watanganyika wasitibiwe huko ZNZ. Ni sawa kabisa, hivi kuna mtanganyika anayeenda kutibiwa Zanzibar, yaani...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…