Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haiwezekani mtumishi wa umma akadhalilishwa namna hii. Kuchapwa bakora kama mtoto mdogo. Makosa ya kiutumishi wa umma yanaadhibiwa kwa mujibu wa kanuni na sheria za utumishi wa umma. CWT na...
10 Reactions
77 Replies
829 Views
Madiwani wa Manispaa ya Ubungo wamekubaliana kwa kauli moja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), wamekubaliana kutafuta suluhu ya changamoto zinazowakabili wananchi...
0 Reactions
3 Replies
84 Views
Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu. Je...
2 Reactions
2 Replies
109 Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu...
1 Reactions
Replies
Views
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026...
5 Reactions
7 Replies
318 Views
Kuna taarifa mbaya ameitoa Mnyika kuhusu kesi ya Lissu kesho with regard to police force. To me; Chadema na watu wenye mapenzi mema chukua tahadhali, wanaweza kuua watu , kuumiza, kujeruji and...
7 Reactions
25 Replies
389 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Arusha, Godbless Lema, ametoa wito kwa wanachama wote waliokihama chama hicho kutokana na ushawishi, hofu au mazingira mbalimbali kurejea na...
2 Reactions
10 Replies
191 Views
https://youtu.be/t2HTUg9LTMw Nakazia. Naona Mungu anataka kujidhihirisha uwepo wake
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wasanii wengi jau sana, unakuta anapata platform ya kutumbuiza shughuli ya kitaifa ambayo wakati mwingine Rais Samia hayupo, ila akianza kuimba mwanzo mwisho ni mama mama mama mama mama, hadi...
1 Reactions
3 Replies
112 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akijibu swali la Mwandishi leo Juni 10, 2026 kuhusu taarifa ambazo chama hicho zimeeleza kuwa kufuatia kusikilizwa kwa kesi...
3 Reactions
9 Replies
233 Views
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa...
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema? Je, achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa...
3 Reactions
43 Replies
395 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mlinzi Maarufu Wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Baada ya Kutoka Urussi katika Ziara ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa...
2 Reactions
23 Replies
613 Views
Kila nikimulika pale CCM sioni mtu mwenye ukomavu wa uvumilivu na mateso yaani wote kama watoto wakishua hawawezi kurupukushani.
0 Reactions
2 Replies
68 Views
  • Redirect
Kuelekea kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika ametoa wito kwa jeshi la Polisi kuupuzia taarifa za uongo wanazodai za...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hvi hizi dharahu zimejitokeza baada ya kuona Raisi anaikumbatia sana Zanzibari. Vyombo kama TISS kazi yao nini je wapo kwa maslahi ya Raisi au Taifa, HIvi kuna wapemba wangapi huku bara. Sababu...
2 Reactions
Replies
Views
Nimejikuta nawakumbuka watu waliopotea kisa kusema ukweli na kukemea maovu kama kina Polepole. Nauhakika wengi kama sio wote wameshauawa na hatutawaona tena.'Mungu awapokee katika ufalme wale...
15 Reactions
88 Replies
1K Views
Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani. Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na...
1 Reactions
21 Replies
223 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…