Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,183
- 14,758
Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua mnavyowakwaza wanachama wenu kukosa habari na updates za kesi in real time? Ni kweli mwenyekiti kesi imeahirishwa siku zaidi ya 166 na imeanza tena hamjajipanga kuupa umma updates?
Acheni hizi aibu ndogo ndogo wakubwa, mnawapa wapinzani wenu points zingine bure tu na huu ni uzembe kwa kila aina ya lugha!. Povu ruksa
Acheni hizi aibu ndogo ndogo wakubwa, mnawapa wapinzani wenu points zingine bure tu na huu ni uzembe kwa kila aina ya lugha!. Povu ruksa