Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Nimeandaa majeneza 100: 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji Kauli hii maarufu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa China, Zhu Rongji, ni ishara ya msimamo...
16 Reactions
22 Replies
422 Views
Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa . Kwa katiba tuliyonayo...
2 Reactions
8 Replies
125 Views
Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani👇
1 Reactions
5 Replies
154 Views
Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki. Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika. Mtu anatoka...
7 Reactions
15 Replies
141 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mahakama kuu ya Tanzania imewakumbusha mawakili wote wanaohudhuria mashauri mahakamani kuzingatia na kuheshimu maelekezo ya chama cha wanasheria tanganyika (TLS) pamoja na maelekezo ya mahakama...
3 Reactions
5 Replies
236 Views
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt. Rugemeleza Nshala ametoa wito kwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi kuchukua hatua za makusudi...
3 Reactions
8 Replies
243 Views
Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda...
12 Reactions
79 Replies
957 Views
msikilizeni wenyewe akiongelea kifo na kukejeli, we came, we saw, he died, hahahah (akicheka kwa dharau), what a psychopath ... https://www.youtube.com/watch?v=6DXDU48RHLU
1 Reactions
10 Replies
179 Views
Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ? Inawezekana hii ?
2 Reactions
12 Replies
99 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 13, 2026, wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Kizimkazi, amesisitiza...
0 Reactions
4 Replies
127 Views
Binafsi naamini Samia ndio kinara na master mind wa madhila yote ya utekaji wa watu na hizi ndio sababu zangu. Alitekwa mdude akakaa kimya Alitekwa mzee kibao akatoa kauli ya kejeli. Alitekwa...
7 Reactions
17 Replies
229 Views
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Ripoti nyingi zinaonyesha tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa...
0 Reactions
4 Replies
119 Views
Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
1 Reactions
8 Replies
115 Views
Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia, Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana! Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter...
2 Reactions
13 Replies
388 Views
Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea...
1 Reactions
5 Replies
44 Views
1/ Kuna kitu kinashangaza wengi kwenye forum yetu. Mwanachama wa CCM anayeitwa BRITANICCA amekuwa gumzo. 2/ BRITANICCA ni mwanachama wa chama tawala CCM. Lakini kazi yake kubwa ni kukosoa...
15 Reactions
33 Replies
810 Views
Ukimsikiliza kwa makini Heche anaeleweka sana. Amejenga ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania. Ni hakika Heche ni tatizo la CCM. Ni Hakika Heche ni Tunu ya Taifa. Vigogo wa Chadema mliojipanga...
22 Reactions
38 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…