Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,466
- 42,594
Binafsi naamini Samia ndio kinara na master mind wa madhila yote ya utekaji wa watu na hizi ndio sababu zangu.
Alitekwa mdude akakaa kimya
Alitekwa mzee kibao akatoa kauli ya kejeli.
Alitekwa kipanya akakaa kimya.
Akatekwa polepole mteule wake kakaa kimya.
Madhila yote haya hakuwahi kukemea hata kidogo mbali ya kutoa vijembe yeye kama chief comforter haonyeshi kabisa kuwa mfariji wa taifa katikati ya majanga haya.
Naomba kama kuna mtu yoyote mwenye clip inayomuonyesha samia akikemea mambo ya utekaji katika taifa au tu hata kutoa pole kwa wahanga.