Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,696 Reaction score 10,181 Aug 13, 2026 #1 Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani👇 Attachments File_1786617751840.mp4 18.5 MB
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,894 Aug 13, 2026 #2 Chama makini kama CHADEMA hakiwezi kufurahia nguvu kazi yake muhimu kuwa nyuma ya nondo, hiyo cheap propaganda wala haitofanya kazi.
Chama makini kama CHADEMA hakiwezi kufurahia nguvu kazi yake muhimu kuwa nyuma ya nondo, hiyo cheap propaganda wala haitofanya kazi.
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,312 Reaction score 4,019 Aug 13, 2026 #3 Yaani huyu kijana Hapi hata mimi ninamshangaa, siku za hivyi karibuni amekuwa ANAROPOKA kweli!
City Of Lies Platinum Member Joined Sep 8, 2011 Posts 6,073 Reaction score 7,995 Aug 13, 2026 #4 Mtemi Mbojo said: Yaani huyu kijana Hapi hata mimi ninamshangaa, siku za hivyi karibuni amekuwa ANAROPOKA kweli! Click to expand... Kilimo cha pilipili siyo cha mchezo mkuu.
Mtemi Mbojo said: Yaani huyu kijana Hapi hata mimi ninamshangaa, siku za hivyi karibuni amekuwa ANAROPOKA kweli! Click to expand... Kilimo cha pilipili siyo cha mchezo mkuu.
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,047 Reaction score 8,397 Aug 13, 2026 #5 Huyu pimbi ni kiazi kweli sidhani kama alishawahi kukaa hata selo Kukaa gerezani kwa mwaka 1 na miezi 4 si suala la kitoto Wengi huwa wana wanaathirika kisaikolojia Kwa kauli yake hii ya kindezi ina maana anamuonea wivu mh Lissu kukaa gerezani?!
Huyu pimbi ni kiazi kweli sidhani kama alishawahi kukaa hata selo Kukaa gerezani kwa mwaka 1 na miezi 4 si suala la kitoto Wengi huwa wana wanaathirika kisaikolojia Kwa kauli yake hii ya kindezi ina maana anamuonea wivu mh Lissu kukaa gerezani?!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,592 Aug 13, 2026 #6 Idugunde said: Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani👇 Click to expand... Well said Bwana Khalifa
Idugunde said: Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani👇 Click to expand... Well said Bwana Khalifa