Mustapha komba
Member
- Aug 12, 2026
- 12
- 2
Habari za leo wakuu,
Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier, customer service, kazi za kampuni, au kazi nyingine yoyote yenye heshima.
Nina uzoefu wa mauzo kutokana na biashara yangu ndogo ninayoendesha, ni mchapakazi, mwaminifu, na msikivu. Tayari kuanza mara moja.
Yeyote mwenye nafasi au anayefahamu fursa, tafadhali niwasiliane:
📞 0762472799
Ahsanteni sana kwa msaada wenu.