Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani...
Eti ndugu zangu,
my friends, ladies and gentlemen, natamani kufahamu,
Zile porojo na vitisho useless vya bunge la Seneti ya Marekani na bunge la Ulaya dhidi ya serikali sikivu ya CCM na maafisa...
Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara.
Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi...
Lissu kua mwenyekiti wa Chadema ilikua big mistake sana kwa sisi CCM hapo ndo tulitakiwa kuboresha siasa na kubadilika kuja kwenye siasa za kweli za kushindana kwa hoja kutoka na karne hii ya...
Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati...
Anaandika Malisa GJ
Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa...
CCM wakishaamua jambo lao hakuna wa kupindua Tanzania.
1. Kwanza kura zitaibwa hatopata ata asilimia 40 ya kura.
2. Atapewa kesi za kigaidi kama lissu au Uasi au silaa. Cuf walishaletewa kontena...
Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
Wanabodi
Mwaka huu 2026, JF imetimiza miaka 20, kwanza nilishauri, wale wanachama waanzilishi wote wa jf waliojiunga mwaka 2006, wawe recognized, wapewe a token of appreciation, na kuingia kwenye...
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa"...
Wanabodi,
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi. Dr Batilda Burian, anwakaribisha wana Tanga na vitongoji vyake, kufika kwennye uzinduzi rasmi wa Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu, unaofanyika kesho...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani...