CCM iache kujimilikisha serikali

CCM iache kujimilikisha serikali

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,860
Reaction score
50,646
Wanakusanya Kodi halafu wanazitumia hovyo na kuzifuja kama Mali zao binafsi. Wakihojiwa wanataharuki.

Serikali ya Tanzania siyo Mali ya CCM.
 
Back
Top Bottom