Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

Mbogi

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2021
Posts
930
Reaction score
1,155
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja kubwa wahafidhina kuwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi mhaini alikutwa na kesi ya kujibu.
 
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
andika vizuri, usiwe na haraka.
 
Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na sionekane kubwa serikali alimbambikia ksi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo Dpp ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja wahafidhina kubwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi bali alikutwa na kesi.
Upumbavu tu! Subiri maamuzi we kima jike
 
Lissu anajitia janja janja ila akinusurika hapa goma linaanza upya, tunadaka brenda rupia ambaye kakaangwa na Lissu mwenyewe kuwa ndiye aliyealika kikao cha kupanga uhaini na shahidi pw17 alimshuhudia katika mandalizi ya kikao hicho cha kupanga uhaini.
Upande wa mashtaka ukimbana brenda rupia tuambie ni nani alikuwa ndo mwenye kikao, automatically atamtaja tundu lissu na hapo sasa ngoma ndo inarindima vizuri dadadeki!!
 
Pole this time mmekutana na kisiki
 
Lissu sio anatia janja, ni moja ya wanasheria top nchi hii? Remind me imechukua mashahidi wangapi kujaribu ku implicate kesi yake, how much amewagaraza mpaka sasa?

Oh tunakamata brenda rupia? Only kauli ya mjinga na mpumbav pale anaposhindwa ku deal na mtu size yake
 
Back
Top Bottom