Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini...
-1 Reactions
166 Replies
1K Views
Ili neno nashindwa kuwoelewa usome kama mchina aliyeuliwa ndugu yake mchina pale manzese, SWALI chonganishi, kwa USHAHIDI huu ulio tolewa na mashahidu viiyo, hata taila wa Sheria atajua yakuwa...
3 Reactions
2 Replies
116 Views
Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
15 Reactions
65 Replies
2K Views
Museven step down
3 Reactions
10 Replies
298 Views
Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh...
6 Reactions
23 Replies
731 Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Lissu ni Mtu Mwenye Mdomo na kinywa Kisicho na ustaarabu kabisa . Ni mtu mwenye kuongea bila kupima athari ya maneno yake ,ni mtu asiye na staha wala hekima wala adabu ya...
-2 Reactions
– Replies
– Views
Huu ndio ukweli mchungu na ksma Mbowe nae angekomaa, huenda hata Lissu yasingemkuta Kwa kifupi, kitendo cha kukomaa mpaka hapa kesi ilipofika, ni ushindi mkubwa kwa Lissu maana walichotaka...
4 Reactions
2 Replies
113 Views
17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV...
4 Reactions
11 Replies
192 Views
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso. My take: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama...
8 Reactions
67 Replies
1K Views
Naamini wanaJF wengi mtakuwa mnamjua huyu jamaa huko mitandaoni hasa YouTube. Mwalimu google ni nguli mchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa na siasa na Tanzania,haamini katika mfumo wa...
2 Reactions
10 Replies
149 Views
Kila kikao kinachoitwa, Raisi ndio mzungumzaji mkuu. Hili ni hatari sana kama taifa. Wala hawaiti kama makuhani ili wampe ushauri wa kujenga na kulinda tunu za Taifa. Ila kuwafundisha kutulia na...
26 Reactions
72 Replies
1K Views
Jumuiya ya Kifalme ya Afrika imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai...
0 Reactions
7 Replies
142 Views
DeletedMember281674
https://www.youtube.com/live/dBta4NXZCm4?is=GaPZMNUlvYMhaq2O ============= "Kesi ya Tundu Lissu ya uongo, imetengenezwa. Kila mtu anajua. Ni kesi ya kisiasa ukisikiliza mashahidi na wenyewe...
8 Reactions
34 Replies
472 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na...
3 Reactions
30 Replies
229 Views
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema kikao cha wenyeviti wa mikoa kilichofanyika Agosti 13 kilitarajiwa kuhudhuriwa na viongozi 30, lakini waliohudhuria walikuwa 15...
0 Reactions
10 Replies
203 Views
Aliripoti kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabili Mbowe mwenyekiti wa zamanii wa Chadema.
3 Reactions
2 Replies
66 Views
Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
25 Reactions
50 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi. Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa...
25 Reactions
57 Replies
1K Views
Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa. RCO wa mkoa wa Mwanza...
18 Reactions
49 Replies
870 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…