Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa...
Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka...
Baba! Baba! Baba!
Nimekuita mara tatu,hakuna mtu kajijengea jina zuri kwa marais ukiondoa Muasisi wetu karume kama wewe ,yaani Mheshimiwa umempiku mpaka Mzazi wako .Nia yako imethibitishwa...
Habari za wakati huu;
Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu.
Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana...
Wanabodi,
Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba ndiye mgombea who is the most bonafide genuine so far, ukimuangalia huku unamsikiliza...
Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama...
Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani...
Eti ndugu zangu,
my friends, ladies and gentlemen, natamani kufahamu,
Zile porojo na vitisho useless vya bunge la Seneti ya Marekani na bunge la Ulaya dhidi ya serikali sikivu ya CCM na maafisa...
Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara.
Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Ajenda ya Katiba Mpya sio Ajenda ya Wapinzani bali ni ajenda ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoanza tangu Awamu ya Nne chini ya Uongozi...
Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati...
Anaandika Malisa GJ
Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa...
CCM wakishaamua jambo lao hakuna wa kupindua Tanzania.
1. Kwanza kura zitaibwa hatopata ata asilimia 40 ya kura.
2. Atapewa kesi za kigaidi kama lissu au Uasi au silaa. Cuf walishaletewa kontena...