Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dunia haijasahau ya Zanzibar 2015; Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019; Kosa la tatu ni kadi nyekundu. Watanzania wengi wetu tuna maisha magumu sana baada ya pesa makusanyo kwenda miradi ya...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Mitandaoni kila mtanzania anasema lake. Vyama navyo kila kimoja kinayo maoni yake. Mazimgira uchaguzi nayo ni mjadala wakujitegemea hasa eneo la tume huru ili watanzania wawe na uhakika wa kura...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sina hakika kama kutakuwa msamiati mpya. Kuna maneno yamekuwa adimu sana kuyasikia kwenye zile insha za kusifu na kuabudu. Maneno haya yamekuwa adimu kwakweli ajira, ongezeko la mishahara na...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Tulisikia "maigizo" ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, akieleza kuwa safari hii kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, hawataruhusu hata kidogo watoa rushwa wenye nia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Taarifa ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndg. Ado Shaibu, leo tarehe 02 Juni 2020. Chama cha ACT Wazalendo kinasikitishwa na kupinga vikali mwenendo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr...
4 Reactions
148 Replies
24K Views
Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi. Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya. Naomba...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka. Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
October 2020 kuna uchaguzi mkuuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. 2015-2020 baada ya uchaguzi kuisha baadaye tulishuhudia wabunge na madiwani wakihama vyama vyao na bahati mbaya sana wamelitia taifa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Ni dhahiri CCM hawajalala wanachapa kazi, hii inathibitishwa na maslahi ya wananchi kuzingatiwa na kufatiliwa kuanzia mkuu wa nchi, PM, RC, DC, DED mchaka mchaka, huku wakiwalaumu, kuwabana...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Katika uchunguzi huu inaonyesha wagombea wa CCM watatumia milungula, rushwa, ubabe na ulaghai ili wapate nafasi katika kugombea nafasi ndani ya CCM. Viashiria vya rushwa katika chama hiki...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Siasa sio uadui na siasa ni suala muhimu kwenye ustawi wa jamii.Lakini pale mwanasiasa au Chama cha siasa kinapoitumia vibaya siasa huwa na matokeo mabaya sana. Sisi bahati nzuri Chama tawala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiukweli katika mabunge yote kuanzia lile la Sapi hili la Ndugai ndio limetutia hasara sana kama taifa. Pamekuwepo na utitiri wa chaguzi amnazo tulirudia kuchagua wabunge wale wale tuliowachagua...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Je,waunga juhudi mkono mwezi huu wa 10 watapita bila kupingwa? Miaka 3 au miaka 2 iliyopita waunga mkono juhudi kwa namna moja au nyingine walipitishwa na chama cha mapindinduzi katika nafasi...
2 Reactions
8 Replies
920 Views
Mimi yangu macho maana mtu kama kiongozi wa chama chenye ushindan huwezi kuamini siasa za kwenye mitandao ukaacha siasa za kijumuia baada ya kuona nyuzi nyingi zimeanzishwa zikiwasema vibaya wale...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi. Baada ya salamu nije kwenye mada. Wote tunajua kuwa tunaenda kwenye uchaguzi mkuu. Msimu huu rushwa hutembea kifua mbele kana kwamba rushwa ni halali 🤔 Mkoani Njombe jimbo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatiliia watia nia wengi walioanza kujitokeza na kufanya tathmini kidogo nimegundua wengi hawana mipango madhubuti ya kuwakomboa wananchi katika changamoto nyingi wanazokumbana nazo...
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo CUF Bashiri Ally Atia nia ya Kugombea Ubunge Jimbo La HANDENI VIJIJINI katika Uchaguzi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom