Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu wa Tanzania, kama kuna muda ambao nafasi za siasa zimekuwa za haki na available kwa kila raia wa Tanzania ni sasa. Nawaombeni sana sana kama wewe ni mzalendo, unania njema na nchi hii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sisi wananchi wa jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tuna imani kubwa na wewe Mhe. Ummy Fussi kwani tunategemea utampokea kijiti cha uongozi wa uwakilishi Mhe. George Malima Lubeleje ambaye amefanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema. Hii...
13 Reactions
164 Replies
20K Views
Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile. Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza. Je, CCM nayo itafuata...
11 Reactions
123 Replies
11K Views
Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni...
2 Reactions
3 Replies
798 Views
Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola? Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama...
6 Reactions
109 Replies
10K Views
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Majimbo mengi yana wabunge ambao wapo kwa miaka mingi na wengine hata 10. Lakini hakuna alama yeyote ya kazi zao zaidi ya zile zilizofanywa na serikali pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kufanya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAMBUA MIPANGO KABAMBE KATIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA OCTOBER 2020 GACHUMA APANGA SAFU YA VIONGOZI MARA Ndugu wana ccm wenzangu naomba kuleta kwenu taarifa ya masikitiko iliyotufikia kutoka Mkoa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa. Haiwezekani kutia...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali...
33 Reactions
231 Replies
19K Views
Habari zenu wakuu poleni na miangaiko ya huku na kule kutafuta chochote. Niende moja kwa moja kwenye Hoja. Kama ilivyokawaida na kanuni na taratibu bila kusahau katiba yetu inavyosema, baada ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam wakuu, Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambapo kutakuwa na Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na kila Chama kinatazamiwa kusimamisha mgombea/wagombea katika nafasi hizo za uongozi...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?. Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida? Ni...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega. Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini...
6 Reactions
78 Replies
11K Views
Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi Nimejaribu kufanya observation...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi. Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni. Orodha ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni 1. Lissu 2. Msigwa 3. Nyalandu. Inavyoonekana ni kale ka kamati...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa. Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Back
Top Bottom