Mheshimiwa Bilal.
Popote ulipo, bado wapo Watanzania tunaokukumbuka kwa utumishi wako makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Elimu yako haina Chembe ya shaka, wewe ni mtaalamu wa Physics ya...
wana JF
Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela...
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo nimeona ni vyema na haki tukawajadili wagombea nafasi ya Rais wa JMT kutokea chama cha CDM.
Nadhani nianze na Mheshimiwa Lissu si kwa bahati mbaya la hasha, nimeanza...
Kwa tunaye mfahamu kijana huyu tuna kila sababu ya kujivunia tunda hili adhimu lililozaliwa na kukulia katika bonde oevu, Bonde la Kilombero, Mkoani Morogoro.
Victor Makinda ni...
Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP).
Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Ingependeza zaidi ingekuwa mwaka wa uchaguzi inapita kura ya maoni kwa wananchi ili kutoa mawazo na mapendekezo ya ama kufanyike au kutofanyika uchaguzi.
Zoezi la uchaguzi linaendana na gharama...
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi...
Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT:
KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu...
Habari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam...
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kuwa hakitashirikiana na vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na Nipashe jana, Mkurugenzi wa Mipango na...
"Wananchi wangu wa Mwibara wameniamini sana, huu ni mwaka wa 10 nawatumikia, wako wahuni wachache ambao wanapita kujaribu kuonyesha kuwa miaka 10 inanitosha niondoke, nimekosa nini? Hadi niondoke...
Vuguvugu za kuingia Ikulu, Mjengoni na kwenye Kata, zimeanza kwa pazia la kuelekea Uchaguzi Mkuu kufunuliwa. Tayari baadhi ya vyama vya siasa vimeanza mchakato. Je, ni aina gani ya viongozi...
MBOWE HATAFUTI URAIS, BALI ANATAFUTA NJIA YA KUPIGA PESA
- Ni mjasiriasiasa mbobezi, Kwake muhimu ni pesa na sio huduma kwa wananchi
- Anafahamu katika dunia ya leo hakuna mtu anaweza chagua...
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu...
Kwanza kabisa me sio mpenzi wa vyama vya Siasa ila nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Tanzania. Nimefatilia mchakato mzima wa chama Cha Chadema na wote tumejua wagombea wa uraisi watakao chuana na...
kabla hujaenda kushiriki kuchagua au kuchaguliwa fikiria.
Kuchaguliwa
Wewe utasimama kwa niaba ya watu wote. Je unajua watu wataweka tumaini kwako? Je unaakili timamu? Kumbuka watu wakifa...
Wapotoshaji Horuba ya ofisi ya waziri mkuu bungeni kuhusu ajira hii hapa
Mheshimiwa Spika, mafanikio haya katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na uboreshaji wa huduma za jamii yameenda...
Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu?
Wagombea uraisi...
Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na...
Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.