Uchaguzi 2020 Narudia tena, bila tume huru sitapoteza muda wangu kupanga foleni juani kupiga kura

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,638
5,144
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.

Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya tume itabaki hivyo hakuna haja ya kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura. Maana mshindi anajulikana. Ni yule aliyeleta refa. Itakuwa ni kupoteza muda .

Before this 5th regime wakurugenzi walitumika pia lakini tofauti ni kwamba walikuwa purely watumishi wa umma with no open or minimal conflict of interest na chama tawala au vyama vingine

Sababu nyingine ni kwamba mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais lakini pia ni mgombea wa chama tawala, alishawaonya returning officers wa tume kwamba hakuna fair play nikuchague Mimi, mshahara nikulipe, nikupe gari ya kutembelea halafu umtangaze mpinzani?.

Hii sentesi huwa inanikatisha tamaa sana . which means my vote doesn't count at all . Naweza mchagua ubunge wa CCM kama anafaa. Suppose hafai then tukamchagua mpinzani Wakurugenzi wameagizwa kutomtangaza.

Bila tume huru ntabaki nyumbani. I won't waste my time.
 
Nccr mageuzi wamekusikia
 
Bila wewe kuwa sehemu ya mkakati wa kuipata tume bora ungekaa kimya.
 
Japo ambalo nina uhakika nalo ni kutokea kwa ubakwaji wa matokeo unaoenda sambamba na bladishedi
 
Mleta mada tukikuuliza utupe sifa stahiki za tume huru, unaweza kutujibu!?
====
Usijibu kwa munkari... tulizana.
 
Kupiga kura ni haki yako kisheria...haki waweza kuitetea au kuacha japo kuacha kutakufanya uteseke...twende tupige Kura nying hadi kuiba waone aibu.
 
Mleta mada tukikuuliza utupe sifa stahiki za tume huru, unaweza kutujibu!?
====
Usijibu kwa munkari... tulizana.
Maoni yangu naona wakurugenzi na wasimamizi wote watokane na vyama vya upinzani. Na mchakato wa kupatikana kwao Raisi asihusike kwa namna moja au nyingine. Hapo unasemaje?
 
Kupiga kura ni haki muhimu, ila Lazima uwe na moyo mgumu kuitekeleza kwa aina ya wanasiasa tulionao.
 
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.

Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya tume itabaki hivyo hakuna haja ya kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura. Maana mshindi anajulikana. Ni yule aliyeleta refa. Itakuwa ni kupoteza muda .

Before this 5th regime wakurugenzi walitumika pia lakini tofauti ni kwamba walikuwa purely watumishi wa umma with no open or minimal conflict of interest na chama tawala au vyama vingine

Sababu nyingine ni kwamba mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais lakini pia ni mgombea wa chama tawala, alishawaonya returning officers wa tume kwamba hakuna fair play nikuchague Mimi, mshahara nikulipe, nikupe gari ya kutembelea halafu umtangaze mpinzani?.

Hii sentesi huwa inanikatisha tamaa sana . which means my vote doesn't count at all . Naweza mchagua ubunge wa CCM kama anafaa. Suppose hafai then tukamchagua mpinzani Wakurugenzi wameagizwa kutomtangaza.

Bila tume huru ntabaki nyumbani. I won't waste my time.
Nipo kama wewe kiongozi, siwezi kupoteza muda wangu kwenda kufanya maigizo
 
Maoni yangu naona wakurugenzi na wasimamizi wote watokane na vyama vya upinzani. Na mchakato wa kupatikana kwao Raisi asihusike kwa namna moja au nyingine. Hapo unasemaje?
Wewe ndio ungekuwa na dola ungekubali kufanya hivyo
 
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.

Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya tume itabaki hivyo hakuna haja ya kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura. Maana mshindi anajulikana. Ni yule aliyeleta refa. Itakuwa ni kupoteza muda .

Before this 5th regime wakurugenzi walitumika pia lakini tofauti ni kwamba walikuwa purely watumishi wa umma with no open or minimal conflict of interest na chama tawala au vyama vingine

Sababu nyingine ni kwamba mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais lakini pia ni mgombea wa chama tawala, alishawaonya returning officers wa tume kwamba hakuna fair play nikuchague Mimi, mshahara nikulipe, nikupe gari ya kutembelea halafu umtangaze mpinzani?.

Hii sentesi huwa inanikatisha tamaa sana . which means my vote doesn't count at all . Naweza mchagua ubunge wa CCM kama anafaa. Suppose hafai then tukamchagua mpinzani Wakurugenzi wameagizwa kutomtangaza.

Bila tume huru ntabaki nyumbani. I won't waste my time.

Go to hell! Tutaenda kupiga tunaoelewa maana.
 
Kwa mtazamo wa haraka ushaonekana unaelement za kipinzani na nikwambie ukweli huo uamuzi unaochukua ndio ccm inautaka wa wewe kutokupiga kura coz ushakata tamaa. Jua kuwa wana ccm wanapiga kura kwa nguvu zote coz wanajua ushindi unalalia kwao
 
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.

Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya tume itabaki hivyo hakuna haja ya kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura. Maana mshindi anajulikana. Ni yule aliyeleta refa. Itakuwa ni kupoteza muda .

Before this 5th regime wakurugenzi walitumika pia lakini tofauti ni kwamba walikuwa purely watumishi wa umma with no open or minimal conflict of interest na chama tawala au vyama vingine

Sababu nyingine ni kwamba mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais lakini pia ni mgombea wa chama tawala, alishawaonya returning officers wa tume kwamba hakuna fair play nikuchague Mimi, mshahara nikulipe, nikupe gari ya kutembelea halafu umtangaze mpinzani?.

Hii sentesi huwa inanikatisha tamaa sana . which means my vote doesn't count at all . Naweza mchagua ubunge wa CCM kama anafaa. Suppose hafai then tukamchagua mpinzani Wakurugenzi wameagizwa kutomtangaza.

Bila tume huru ntabaki nyumbani. I won't waste my time.
Kheri mwenda bule kuliko mkaa bule,uhenda akaokota.
 
Ulale kabisa utungishe mimba,wengi watakwenda kupiga kura,
 
Naungana na wewe mkuu
 
mleta mada vipi wewe kwani kuna mtu humu kakuomba ukapige kura? uende usiende utajijua shauri yako nani anajikomba kwako na kikura chako kwenda huko
 
Back
Top Bottom